Precision Air VS Air Tanzania.

Precision Air VS Air Tanzania.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Ndugu wadau,
kuna uhusiano gani kati ya kifo cha AIR TANZANIA na kukua kwa PRECISION AIR?
Nahisi kuna baadhi ya watendaji wa serikali yetu wana umiliki wa hisa ndani ya Pecision Air, hivyo wanalizorotesha shirika la umma kwa ajili ya manufaa yao binafsi.
Mawazo yako hayako sahihi na wala si ya uhakika, naomba mwenye wazo la pili anisaidie.
 
Basil Pesambili Mramba ni miongoni mwa ma Preferential shareholders na alikuwa waziri wa miundo mbinu.
 
Bujibuji
nahisi ama kwa mawazo kifo cha atcl akihusiani kabisa na matokeo ya kutanuka kibiashara kwa precision air..mchawi mmoja alisema biashara ni marketing siku zote kwa ngu mimi precission ni wanapiga kazi uwezi kulinganisha marketing ya atcl na precission hata kidogo...pamoja na kwamba wako serikalini wao walitarajia abiria aletwe na yesu kwenye ndege..ama wanatarajia serikali kwa kuwa ina sharezake watumie kuwapeleka wafanyakazi kule...never...kila sehemu tunaitaji kuhangaika ili ule..wale precission walichofanya ni kwenda karibu kila idara za serikali na kumake deals za kazi si deals mnazojuana kwenye airline kuna kitu kamisheni...so akuna aliekazini kuuza sura...so walichofanya ni hicho na mpaka leo hii utaenda kushangaa waziri mkuu akipanda precission to mwanza si uchawi...waache wao atc wasubiri kuletewa abiria...\anayway mengi yanachangia kifo chao lakini nahisi dhambi kuuiita marehemu wakati iko bado icu

wakija kupona utajuta..yaa nahisi uongozi nao ni swala lingine linachangia kuliua kampuni hii ila ukianza kulalamika uongozi jua ceo anateuliwa na rais...inshort utapata jibu anaeiua atc anatoka wapi ama mchawi ni nani....je ukiwa kama mdau wa tanzania unafikiri tufanye nini atcl itoke icu badala ya kwenda kuzimu???
 
Bujibuji
nahisi ama kwa mawazo kifo cha atcl akihusiani kabisa na matokeo ya kutanuka kibiashara kwa precision air..mchawi mmoja alisema biashara ni marketing...
Basi uhusiano ndio huo, yaani baada ya AT kufariki na wakati huo huo demand ikaendelea kuwapo, basi market ya PA ikachanua kwani competitor wake wamekufa/wamepungua
 
Mkuu jabulani
ukisoma yalioandikwa utaona swala si kifo cha atcl bali ni watendaji wa serikali
nikamsaidia kwa kumpa mbinu za kutatua tatizo la atc na nini precission wanafanya akuna uchawi mkuu..uhusiano wa kifo cha mwenzako ati unachanua..hiyo si kweli

naomba nikueleze wanakuja oman air ambao walisema wamekufa ...na wanaacha abiria now
emirates waanaleta ndege mbili za watu 500 wakati mwingine unaweza kuangalia ..so wasikimbilie imekufa watafute chanzo nini na nini cha kufanya atcl kwangu mimi bado aijafa ila watu watakufa na kwa kukuhakikishia atcl aifi ngo

uliza walikuja watu wakaiacha na ipo kama ilivyo...so swala nini cha kuifanya inyanyuke basi...binafsi nitafurahi kuona atcl ikishine nje ya nchi ...in short ata precission wanyanyuke vipi waende nje ni tofauti na national carrier ikiwa nje nenda yemen uliza atcl...waulize precission kilichowafanya wakimbie southafrica rte washukuru mungu atc aina ndege kubwa....anyway ni biashara ..tuzidi kuwaombea

mungu awwabariki
 
ATCL haijafa ila ilifanyiwa umafia na wale wazee watatu wa kipare, ahhh mmoja ni mchaga wanaoshitakiwa kwa kutumia madaraka yao vibaya. Hawa wazee wanahisa kubwa PAA na wakiwa madarakani walifanya kila njia kuidhulumu ATCL na kuipendelea PAA.

Ila bado ATCL inaweza kuja tena na kutesa kama akili za biashara ya kisasa itawekezwa ndani ya shirika hilo.
 
Bujibuji
nahisi ama kwa mawazo kifo cha atcl akihusiani kabisa na matokeo ya kutanuka kibiashara kwa precision air..mchawi mmoja alisema biashara ni marketing siku zote kwa ngu mimi precission ni wanapiga kazi uwezi kulinganisha marketing ya atcl na precission hata kidogo...pamoja na kwamba wako serikalini wao walitarajia abiria aletwe na yesu kwenye ndege..ama wanatarajia serikali kwa kuwa ina sharezake watumie kuwapeleka wafanyakazi kule...never...kila sehemu tunaitaji kuhangaika ili ule..wale precission walichofanya ni kwenda karibu kila idara za serikali na kumake deals za kazi si deals mnazojuana kwenye airline kuna kitu kamisheni...so akuna aliekazini kuuza sura...so walichofanya ni hicho na mpaka leo hii utaenda kushangaa waziri mkuu akipanda precission to mwanza si uchawi...waache wao atc wasubiri kuletewa abiria...\anayway mengi yanachangia kifo chao lakini nahisi dhambi kuuiita marehemu wakati iko bado icu

wakija kupona utajuta..yaa nahisi uongozi nao ni swala lingine linachangia kuliua kampuni hii ila ukianza kulalamika uongozi jua ceo anateuliwa na rais...inshort utapata jibu anaeiua atc anatoka wapi ama mchawi ni nani....je ukiwa kama mdau wa tanzania unafikiri tufanye nini atcl itoke icu badala ya kwenda kuzimu???

Mramba ni moja wa majority share holders wa PrecisionAir na alifanya makusudi ATC ife ile kampuni yake ipete esp. alipokuwa waziri wa miundombinu.
Balozi Mpungwe aliekuwa South Africa na Raisi Mkapa na mama Mkapa wakati huo nae ndie alieiangamiza kabisaa ATC kwaajili hiyo ile Precisionair ipete. Kama unabisha nenda pale Airport na kaulize watu watakujulisha
Kwa taarifa yako KLM waliitaka ATC na CCM walipokataa then wakenda kuingia ubia na Kenya Airways, sasa angalia jinsi Kenya Airways inavyopeta!! Wenzenu wanaagiza brand new Boeings straight from Seattle! Endeleeni kuchagua CCM ndio mtayajua ya Musa. Alamsiki
 
SHERRIF sijawahi kumtusi mtu hapa JF.......tunaongelea NATIONAL ISSUE....na si MAKAMBA KATIBU WA CCM.....SAMSONMFALILA big up for raising NATIONAL SPIRIT.......mimi binafsi kati ya safari zangu za ndani natumia ATC.....no matter what....but ni namna moja ya kuinua shirika la kizalendo......! SAMSON KAULIZA NINI KIFANYIKE ILI ATC IINUKE.....ME SAY...TUIUNGE KWA KUITUMIA KATIKA SAFARI ZETU......MENGINEYO TUENDELEE KUCHANGIA
 
Ndugu wadau,
kuna uhusiano gani kati ya kifo cha AIR TANZANIA na kukua kwa PRECISION AIR?
Nahisi kuna baadhi ya watendaji wa serikali yetu wana umiliki wa hisa ndani ya Pecision Air, hivyo wanalizorotesha shirika la umma kwa ajili ya manufaa yao binafsi.
Yale yale! Mbuzi wako akikonda na wa jirani akinenepa basi jirani atakuwa amepora unono wa mbuzi wako! Siyo kwamba wewe ni mzembe na jirani yako ni hodari wa kufuga mbuzi? Kufikiri sahihi bwana kazi.
 
Yale yale! Mbuzi wako akikonda na wa jirani akinenepa basi jirani atakuwa amepora unono wa mbuzi wako! Siyo kwamba wewe ni mzembe na jirani yako ni hodari wa kufuga mbuzi? Kufikiri sahihi bwana kazi.

Mkuu, umeshaambiwa nenda palee airport waulize watu waliofanya kazi miaka mingi na watakueleza kwa nini huyo mbuzi mmoja kakonda na mwengine ni mnono. Lakini ukweli ni kuwa Mramba, Mpungwe na Mkapa walifanya intentional sabotage ili ATC ife na Precision ipete😛layball:
 
Back
Top Bottom