Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ndugu wadau,
kuna uhusiano gani kati ya kifo cha AIR TANZANIA na kukua kwa PRECISION AIR?
Nahisi kuna baadhi ya watendaji wa serikali yetu wana umiliki wa hisa ndani ya Pecision Air, hivyo wanalizorotesha shirika la umma kwa ajili ya manufaa yao binafsi.
Mawazo yako hayako sahihi na wala si ya uhakika, naomba mwenye wazo la pili anisaidie.