Precision air washusha flight fare


usiopungua au usiozidi?

halafu hizo bei ulizozitaja umeambiwa na nani?
 
usiopungua au usiozidi?

halafu hizo bei ulizozitaja umeambiwa na nani?

Nashukuru kwa marekebisho. USIOZIDI.

tembelea Precision kwa bei hizo, mie nililipa hiyo bei na kuambiwa imeshushwa, nilikuwa nimejiandaa kwa bei ya awali. lakini pia kuna Sms waliniambia zinarushwa kwa mitandao ya simu.
 

Bei hizo nilizipata precision office na nilikata mwanza dar return tickect.
 
Nashukuru kwa marekebisho. USIOZIDI.

tembelea Precision kwa bei hizo, mie nililipa hiyo bei na kuambiwa imeshushwa, nilikuwa nimejiandaa kwa bei ya awali. lakini pia kuna Sms waliniambia zinarushwa kwa mitandao ya simu.

aksante mkuu
 

Well said
 
bhageshi umenena mie nimesimuliwa tu iyo karaha ya fastjet,bora tu nipande ata ATC
yani watu tutoke mwanza bila samaki???na kwanini hawasemi kinachowafanya fastjet wakatae baadhi ya mizigo?mana samaki ni sehemu ya mzigo pia...ni kweli fastjet imerahisisha unafuu wa watu kusafiri kwa ndege ila hawako wawazi ktk marketing abt nini kinakubalika na kiki hakikubaliki

precision for life haijalishi ata nauli laki 3
 
Last edited by a moderator:
Uelewa wenu wa low cost airline ni mdogo ila i hope one day when all airlines resort to low cost business model then you will weigh the advantages between the carriers in the market. Thank God fastjet have already shown the way and induced precision air into the model. Many more will come and follow the trend already set by fastjet.
Take time to study about Southwest Airline in America and Ryanair and how they operate in Europe. Low cost pays and as the economy slumps when time goes, low cost will be the order of the aviation industry. Watch the space.
Do u know that there are number of airlines whose applications are pending with TCAA all vying for the same market in Eastern Africa and Tanzania to be specific?
 
Hiyo nauli mbona siioni,, hapa natafuta ticket ya mwanza ya jumamosi bei ni 199 kama kawaida, sema hii ya 199 ukikata online unapata hadi kwa 179,,,

Pamoja na kuja kwa fast jet, precision air for life tutaendaje mwanza bila kurudi na samaki..
 

Utapandaje ndege amabyo haipo? Au ipo?
 
acha uswahili wewe utapandaje na samaki kwenye cabin? ingekuwa ndege yako ungekubali na shombo yote ya samaki? pakiza kwenye cargo! Muache mambo ya ajabu Wabongo! Hizi ndizo karaha za bei chee! wengine watataka wapande na tenga la kuku humo ndani wakikataliwa watakuja humu kupiga kelele
 

Unaonekana hujui unachokisema... au hukunielewa ninachokimaanisha... na bado kuna sheria zinazosimamia biashara hii pia inaonekana huzijui....anyway huo ndio ufahamu wako....
 
Inawezekana hawana coolants kuweza kuwafikisha salama mwisho wa safari yako!
 
Unaonekana hujui unachokisema... au hukunielewa ninachokimaanisha... na bado kuna sheria zinazosimamia biashara hii pia inaonekana huzijui....anyway huo ndio ufahamu wako....
hakuna airline inayobandisha samaki kwenye passengers cabin duniani! Nipe jina la airline moja kama ipo! pershable and live goods hazikanyagi mle international aviation laws zinasema hivyo!
 
sisi binadamu c watu wa kushukuru, hivi mlitaka sisi wenye kipato duni tuziskie ndege angani tu, lazima tuishukuru fast jet kwa changamoto waliyoleta kwenye usafiri wa anga ili na sisi wa hali ya chini tupande hizo ndege
 
Asante Mwakyembe kwa kuwapa Fast Jet kibali, hawa wachagga wa Precision walitaka kuufanya usafiri wa anga ni wa wenye nazo peke yao, walitaka tuendelee kupanda punda za Ubungo hadi tuingiapo kaburini
 
hakuna airline inayobandisha samaki kwenye passengers cabin duniani! Nipe jina la airline moja kama ipo! pershable and live goods hazikanyagi mle international aviation laws zinasema hivyo!

Nimekwambia hujanielewa na hutaki kuelewa, tatizo lako ni mbishi halafu hauko tayari kuelewa hata hao precision sijasema wanapakia kwenye cabin. nenda kaangalie huwa wanaweka wapi hao samaki toka mwanza mpaka wanafika dar. uliza walioathirika na usafiri wa fast jet kwa sababu tu hawako wawazi juu ya aina ya mizigo inayopaswa kuchukuliwa na abiria. sina shida na huduma yao ya bei rahisi kwani huo ndio ushindani, tatizo ni taarifa kwa wateja tufahamu kinagaubaga. sio una issue ticket ambayo haina limitation zozote juu ya aina za mizigo ambazo abiria anatakiwa kuwa nazo akifika airport mnabadilikia hiyo sio kabisa. wewe kama ni mmoja wao fast jet badilikeni. kuweni wawazi wa taratibu zenu.
 
Inawezekana hawana coolants kuweza kuwafikisha salama mwisho wa safari yako!

Ni uhuni mtupu, safari ya 55minutes na kuna jamaa yangu hapa nasema awali walipoanza walichukua baadaye wakafuta na kuanza kuzitoza mizigo uzio. hebu pata kwa baadhi ya masharti yao hapa chini huenda yakakusaidia kama ww si mmoja wao wa fast jet....

FastJet Ticket Rules:

  • Tickets are non-refundable
  • No name changes are allowed for any reason after ticket is purchased
  • A passenger is considered a no-show after the flight has departed; they miss the check-in desk closure or fail to board the aircraft within the required time
  • The ticket is non-refundable if unused
  • An administration charge applies to recover government taxes
  • Check-in closes 40 minutes before departure
  • All flight changes must be made 24 hours before the flight originally booked - No change will be allowed within 24 hours before the flight
  • All fees and charges will be made in the currency of the original booking.
  • Payment of change fee and ancillary products must be immediate for products and changes to be affected
  • Baggage is subject to a fee of $5 per bag
  • Only one bag allowed per passenger
  • You can carry 20kgs for the $5 fee
  • The passenger can pay for excess weight at a rate of $5 per kg up to a maximum of 32kgs
  • Fare differences apply per passenger and flight
  • Your new Fare will be at least the fare you originally booked or may be more
  • You cannot change to a lower fare
  • No refund will be applicable if a lower Fare is available
  • Fare difference is the difference (if any) between the Fare originally booked and the new fare available
  • The fare difference may be substantial
  • Flight date changes are permitted subject to a fee and the applicable difference in the fare available
  • Origin and destination changes are not permitted
  • The passenger must make all date and flight changes 24 hours before departure
  • After which time the passenger is committed to the reservation
    **Unaccompanied minor** Children aged less than 14 years are not allowed to travel unaccompanied, they can only travel with an adult
  • Check in closes 40 minutes before departure
  • No name changes or refunds
 
kila airline ina business policies zake jaribu kusoma maelekezo yao katika website zao kuelewa! In short hata Ulaya Easyjet na Ryanair hazichukui perishable or live cargo! Kwa vile ni risky na mode of their operation do not support them to be falling into a compensation trap! umenielewa mzee that kind of cargo is too risky for them and if they take such cargo they will be positioning themselves to pay compensation everyday!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…