Hee kuajiriwa maisha yote ni shida ??
@Utaishia kuajiriwa maisha yako yote ukiwa na hii mentality ya kiujima ujima.....
@Utaishia kuajiriwa maisha yako yote ukiwa na hii mentality ya kiujima ujima.....
Huwezi kuita Boeing 737-300 bodaboda wewe punguani. Watu tunapanda days in days out na kufika salama wewe unaita bodaboda. Hii nchi imejaa machizi wengi sana. KQ wanahisa PW about 40% nyingine ni za watanzania. Ni aibu ya hali ya juu Mtanzania mwenzio kaanzisha biashara imeshine hadi kuvutia mtaji wa kibiashara kutoka nje wewe unaita bodaboda. PW imeajiri watanzania kibao pale ambao isingekuwepo ungekuwa unagombania nao nafasi chache za ajira zilizopo. Utaishia kuajiriwa maisha yako yote ukiwa na hii mentality ya kiujima ujima. Hongera PW kwa kushusha nauli, hapo mmetusave 50,000 nzima na samaki tunapakia kilo 30. Tutaendelea kuwaunga mkono so long huduma yenu itakuwa poa na tutawaponda mkija na huduma mbovu kama za ATCL. Pia tunashukuru ujio wa Kikwete ooh sorry FASTJET maana ndio imesababisha hawa jamaa kushusha bei