Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
leo kuna press conference muhimu ya Chadema。
hili ni bandiko la kitu kinachoitwa preemptive move ya kuisaidia Chadema ahead of Press Conference hii muhimu ya Mwenyekiti wa Chadema leo,ili kuisaidia Chadema wasifanye kosa la kurudia kosa la kususia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa!。
Anzia hapa Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!
Kufanya kosa sii kosa,kosa kurudia kosa, Chadema walifanya kosa kususia uchaguzi ule,uchaguzi huu wasirudie makosa,wasijitoe kwa kususia uchaguzi wa seikali za mitaa!。
Paskali
update
Press Conference Imeisha, Chadema haitajitoa。
Pongezi Chadema kutorudia makosa。
Mungu Ibariki Chadema
Mungu Ibariki Tanzania
P。
leo kuna press conference muhimu ya Chadema。
hili ni bandiko la kitu kinachoitwa preemptive move ya kuisaidia Chadema ahead of Press Conference hii muhimu ya Mwenyekiti wa Chadema leo,ili kuisaidia Chadema wasifanye kosa la kurudia kosa la kususia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa!。
Anzia hapa Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!
Wanabodi,
Vyama vya Siasa Tanzania ni Public Parties
Japo vyama vya siasa ni mali ya wanachama na kuhudumiwa na michango ya wanachama, kwa Tanzania, vyama vya siasa ni private parties vya wanachama, wakati tuu wa kuanzishwa, lakini vikiisha ingia kushiriki uchaguzi na kushinda, status ya vyama hivyo ina change from private parties za wanachama into public parties za umma wa wananchi na ndio maana vinalipwa ruzuku ya serikali ambazo ni fedha za wananchi. Fedha za serikali, public money, ni fedha za wananchi, yoyote anayelipwa kwa fedha za wananchi, by taxpayers money ni public entity, kufuatia viongozi wa vyama hivyo kuchaguliwa na wananchi, the public, to hold a public office, serikali za mitaa, udiwani, ubunge hadi urais, walio wachagua ni public ya Watanzania na sio wanachama wao pekee, hivyo hivi vyama vyote vya siasa vyenye viongozi waliochaguliwa na wananchi ni public parties.
Kufuatia status hii ya vyama vya siasa kuwa ni public parties, then maamuzi yoyote ya chama kuhusu uchaguzi, lazima yazingatie the public interest na sio the selfish motives ya viongozi wake,
Jee Kila Uamuzi wa Kugomea Jambo au Kususia Kitu ni Ujinga, Insane?
Hapana, sio kila kugomea jambo au kususia jambo fulani ni ujinga. Kugomea jambo fulani ili kutuma ujumbe mzito kwa watawala, kuwa this is not right, kunakubalika, hivyo maandamano ya kutuma ujumbe, demonstrations au industrial actions kwa wafanyakazi, kudai haki zao, ni migomo halali na ina justification kwa ajili ya kutimiza malengo fulani.
Kipimo cha kususia jambo fulani au kugomea fulani, kipi ni uamuzi sahihi na kipi ni ujinga na uendawazi, ni kipimo cha kutumia matokeo, jee ukigomea jambo fulani, una goma ili kuachive nini?, kama unagoma tuu ili mradi kugoma, au unasusa tuu ili mradi kususa, kwa kugoma huko, huta achieve anything, huku ndio kugoma kwa ujinga na uendawazimu, viongozi wa vyama wanaohimiza vyama vyao kususa huku na kugoma huku ambapo there is nothing they'll achieve kwa kususa huko au kugoma huko, huu ndio uendawazimu ninaouzungumza hapa! Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?
Hitimisho.
Kwa vile vyama vya siasa ni public parties, viongozi wa vyama, mna wajibu wa kuviendesha vyama vyenu kwa kutanguliza mbele maslahi ya umma na sio maslahi binafsi ya viongozi wenu, msiruhusu ignorance, insanity, selfishness ya baadhi ya viongozi wenu wabinafsi, kuviangamiza vyama vyenu kwa ignorance, insanity, selfishness yao, wakati miongoni mwenu sio wote mko insane.
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Asante sana kwa taarifa hii, ushauri wangu ni atangaze chochote na alalamike vyovyote kuhusu hizi figisu figisu za uchaguzi wa serikali za mitaa, ila hala hala ,Chadema wasifanye kosa kama lile la mwaka 2019 kususia uchaguzi wa serikali za mitaa,hivyo uchaguzi mkuu wa 2020 waliambulia jimbo moja tuu la ngama!,wakasusia kuutambua uchaguzi,na kuuita ni uchafuzi, lakini baada ya maridhiano wakautambua na kuyatambua matokeo!。Taarifa ikufikie Popote Ulipo kwamba, Mwenyekiti wa Chadema, Mwamba Kabisa, Freeman Mbowe, Atazungumza na Dunia kupitia kwa Waandishi Wote wa Habari Duniani.
Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kote Duniani hii hapa
View attachment 3155564
Hatutaki kuongeza Chumvi, Tusubiri Habari kamili baada ya Mkutano huo
Usiondoke JF
Kufanya kosa sii kosa,kosa kurudia kosa, Chadema walifanya kosa kususia uchaguzi ule,uchaguzi huu wasirudie makosa,wasijitoe kwa kususia uchaguzi wa seikali za mitaa!。
Paskali
update
Press Conference Imeisha, Chadema haitajitoa。
Pongezi Chadema kutorudia makosa。
Mungu Ibariki Chadema
Mungu Ibariki Tanzania
P。