Bado haitasaidia maana shule ya msingi Dodo ndiyo wamemwamini prefect.Tunampelekeaje prefect hii list yetu? Wengine wanasema tutume barua kwa Shule ya Msingi Dodo, SLP...
lakini wa kuthibitisha ni daktari kama katajwa maana yake kapatiwa tiketi ya kwenda kupimwaHata prefect akiandikwa unafikiri mkuu wa shule atakubali kumfukuza shule ama kumpa adhabu?
Unafikiri atakubali kupimwa sasa?lakini wa kuthibitisha ni daktari kama katajwa maana yake kapatiwa tiketi ya kwenda kupimwa
Nasikia wenye roho ngumu wamemtumia Prefect jina lake mwenyewe, lakini hofu ni kama atalitoa?Tunampelekeaje prefect hii list yetu? Wengine wanasema tutume barua kwa Shule ya Msingi Dodo, SLP...
hamna namna ya kukataa kupimwa hata kama anaogopa kuchechemeaUnafikiri atakubali kupimwa sasa?