white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Sawa!! Nchi/bara ambalo limejaa maprof. Wanaojikomba kwa std seven!! Form 4,6!!ili kupewa vyeo? Badala ya kufanya tafiti!! Uniambie kuna wa kutatua matatizo ya jamii!!? Sindano tu ya kushonea inatoka chini, kuna nini?? Hizo dose za ARV, bila msaada wa marekani yule ndugu yako angekuwa hai hadi leo mkuu?? Kuwa mkweli tuHuo ni ukweli from your brainwashed
Nothing, I never get anything from people from that drunk nation where the president is drunk with a drunken name.....
You dont know shit, unadhani kila kitu kimetengenezwa na mzungu. Vipo vitu kibao vya kutatua matatizo ya jamii vimetengenezwa na watu weusi, hiyo arv yenyewe a black scientist was amongst brain stormers waliosaidia upatikanaji wake, sink, a.c, 3 black women mathematicians enabled the first space adventure, without them isingefanikiwa, back when there was no computer, plenty things zimevumbuliwa na black men, but because youre brainwashed, worshiping their image god.Sawa!! Nchi/bara ambalo limejaa maprof. Wanaojikomba kwa std seven!! Form 4,6!!ili kupewa vyeo? Badala ya kufanya tafiti!! Uniambie kuna wa kutatua matatizo ya jamii!!? Sindano tu ya kushonea inatoka chini, kuna nini?? Hizo dose za ARV, bila msaada wa marekani yule ndugu yako angekuwa hai hadi leo mkuu?? Kuwa mkweli tu
This the sad truth, your president cant converse in English period!!! Wacha bla bla ako bizzy akizindua cherahani anaepuka aibu....JPM ako na waziri wa mambo ya nje, ako na balozi wa nchi za ulaya, ako na prime minister na makamu wa Rais. wote wako kazini.
Uhuru pia ako na wasaidizi ila ako idle sana, hanachakufanya
This the sad truth, your president cant converse in English period!!! Wacha bla bla ako bizzy akizindua cherahani anaepuka aibu....