white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Sawa!! Nchi/bara ambalo limejaa maprof. Wanaojikomba kwa std seven!! Form 4,6!!ili kupewa vyeo? Badala ya kufanya tafiti!! Uniambie kuna wa kutatua matatizo ya jamii!!? Sindano tu ya kushonea inatoka chini, kuna nini?? Hizo dose za ARV, bila msaada wa marekani yule ndugu yako angekuwa hai hadi leo mkuu?? Kuwa mkweli tuHuo ni ukweli from your brainwashed