Pres. Kenyatta leaves for G7 summit

Pres. Kenyatta leaves for G7 summit

Huo ni ukweli from your brainwashed
Sawa!! Nchi/bara ambalo limejaa maprof. Wanaojikomba kwa std seven!! Form 4,6!!ili kupewa vyeo? Badala ya kufanya tafiti!! Uniambie kuna wa kutatua matatizo ya jamii!!? Sindano tu ya kushonea inatoka chini, kuna nini?? Hizo dose za ARV, bila msaada wa marekani yule ndugu yako angekuwa hai hadi leo mkuu?? Kuwa mkweli tu
 
Nothing, I never get anything from people from that drunk nation where the president is drunk with a drunken name.....

Tano tena

IMG-20180602-WA0008.jpg
 
Aisee bora jiwe abaki huku barani , maana hakuna namna, angetia aibu tu huko ugaibuni, un'gen'ge una wenyewe jamani, Kenyatta atatema yai la ukweli huko hadi unawaona wazungu wanakenua huku wakimpigia makofi ya kilo mazee! wanamkubali sana kule..
 
JPM ako na waziri wa mambo ya nje, ako na balozi wa nchi za ulaya, ako na prime minister na makamu wa Rais. wote wako kazini.
Uhuru pia ako na wasaidizi ila ako idle sana, hanachakufanya
 
Sawa!! Nchi/bara ambalo limejaa maprof. Wanaojikomba kwa std seven!! Form 4,6!!ili kupewa vyeo? Badala ya kufanya tafiti!! Uniambie kuna wa kutatua matatizo ya jamii!!? Sindano tu ya kushonea inatoka chini, kuna nini?? Hizo dose za ARV, bila msaada wa marekani yule ndugu yako angekuwa hai hadi leo mkuu?? Kuwa mkweli tu
You dont know shit, unadhani kila kitu kimetengenezwa na mzungu. Vipo vitu kibao vya kutatua matatizo ya jamii vimetengenezwa na watu weusi, hiyo arv yenyewe a black scientist was amongst brain stormers waliosaidia upatikanaji wake, sink, a.c, 3 black women mathematicians enabled the first space adventure, without them isingefanikiwa, back when there was no computer, plenty things zimevumbuliwa na black men, but because youre brainwashed, worshiping their image god.
You dont know shit and you do not that you dont know.
Kwa iyo profesa asipewe cheo, stupid reasoning, alienacho ataongezewa kijana, pambana na hali yako, acha wivu na uchawi.
 
JPM ako na waziri wa mambo ya nje, ako na balozi wa nchi za ulaya, ako na prime minister na makamu wa Rais. wote wako kazini.
Uhuru pia ako na wasaidizi ila ako idle sana, hanachakufanya
This the sad truth, your president cant converse in English period!!! Wacha bla bla ako bizzy akizindua cherahani anaepuka aibu....
 
This the sad truth, your president cant converse in English period!!! Wacha bla bla ako bizzy akizindua cherahani anaepuka aibu....

Knowledge of English does not demonstrate competence. Kenyans are dumb as https://jamii.app/JFUserGuide. Always bootlicking mzungu for approval.
 
Back
Top Bottom