Presha waliyopigwa simba kwa ushindi mfululizo wa Yanga kwa 100% ndio anguko lao leo,,zilikuwa ni mbio za marathoni ili kuona nani atasalimu amri!

Presha waliyopigwa simba kwa ushindi mfululizo wa Yanga kwa 100% ndio anguko lao leo,,zilikuwa ni mbio za marathoni ili kuona nani atasalimu amri!

Mkuu, mm ni yanga lkn tusijiaminishe sana!mpira una maajabu yake sana!!
Ni kweli lakini furahi kulingana na wakati uliopo. Furaha kwa Yanga hivi sasa ni kukaa kileleni, hayo ya baadae au kesho yatajieleza yenyewe. Furahi na jigambe
 
Back
Top Bottom