M Muite JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 2,971 Reaction score 6,607 Feb 7, 2025 #21 mikolaj said: Mkuu, mm ni yanga lkn tusijiaminishe sana!mpira una maajabu yake sana!! Click to expand... Ni kweli lakini furahi kulingana na wakati uliopo. Furaha kwa Yanga hivi sasa ni kukaa kileleni, hayo ya baadae au kesho yatajieleza yenyewe. Furahi na jigambe
mikolaj said: Mkuu, mm ni yanga lkn tusijiaminishe sana!mpira una maajabu yake sana!! Click to expand... Ni kweli lakini furahi kulingana na wakati uliopo. Furaha kwa Yanga hivi sasa ni kukaa kileleni, hayo ya baadae au kesho yatajieleza yenyewe. Furahi na jigambe