McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakati wazazi wao wakiwa ni maarufu kwa makubwa waliyoyafanya kwenye mchezo wa soka, wao wameshindwa kufikia angalau nusu ya mafanikio ya kile ambacho baba zao walikifanya walipokuwa wakicheza.
Enzo Zidane mtoto wa Zinedine Zidane ‘Zizzou’, Romeo Beckham mtoto wa David Beckham na Cristian Totti kijana wa Francesco Totti.
Enzo alistaafu kwa sababu aliona hawezi kufika mbali kwenye soka, Romeo sababu Brentford FC haikumpa mkataba mpya kwa kutoridhishwa na kiwango chake wakati Cristian amestaafu kutokana na sababu za kiafya akidaiwa kuwa na unene ambao ungeweza kuwa shida kwake.