Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliingia mkenge kwa kumuona nyota kumbe alikuwa anabebwa na dawa zilizokuwa zikipulizwa vyumba vya kubadilishia nguo na wachezaji nyota wa upinzani kusingiziwa UVIKOWaarabu awa mchukii Ila walichotegemea kutoka kwake Kwasasa mchezaji bado haja kifikia. Luis anaitaji muda kuweza kufikia Kiwango walichotarajia tatizo Timu ni kubwa na Ina presha ya Matokeo. Timu kubwa hazina tabia ya kusubiri mchezaji awe Bora, Timu kubwa zinahitaji matokeo.
Luis akirudi Simba bado atakuwa nyota Ila kule Misri badosana kwa level aliyonayo Sasa.
Watanzania Kwa roho mbaya mmebarikiwa Sana. Mnamwombea mwenzenu afeli anakolipwa mil.95 ili arudi TANZANIA mumlipe mil.9.5?Vigogo wa Afrika, Al Ahly wamepoteza mchezo wa nusu fainali ya Klabu Bingwa Dunia kwa kufungwa mabao 2-0 na Palmeiras ya Brazil, usiku wa kuamkia leo.
Kwa maana hiyo AL Ahly sasa wanasubiri kucheza mechi ya kutafuta mshindi wa tatu dhidi ya Al Hilal ya Saudi Arabia au Chelsea ya England ambazo zitacheza leo katika nusu fainali nyingine ya michuano hiyo.
Katika mchezo huo waliopoteza Al Ahly, winga wao, LUIS MIQUISSONE alikuwa benchi na hakutumika.
Kutotumika kwa staa huyo kumetokana na kutokuwa na mwendelezo mzuri uwanjani tangu amesajiliwa na timu hiyo mwanzoni mwa msimu huu akitokea Simba na inaelezwa kuwa hana furaha kwa kuwa hana uhakika wa kucheza katika kikosi cha kwanza.
Presha imezidi kuwa kubwa kwa MIQUISSONE kutoka kwa wachambuzi, mashabiki na wadau wa klabu yake hiyo wakishutumu kuwa alisajiliwa kwa dau kubwa lakini hajaonyesha kile ambacho kilitegemewa.
Mwenzake, Clatous Chama ambaye awaliodoka Pamoja lakini wakienda timu tofauti, amerejea Simba na ameshaanza kuitumikia timu hiyo ambapo naye hakuwa na wakati mzuri uwanjani alipokuwa amesajiliwa na RS Berkane ya Morocco.
Tayari maoni ya mashabiki hawa wa Tanzania wanaamini kuwa ni bora arejee Simba kwani akiendelea kubaki huko atanenepa kwa ajili ya kukaa benchi.
View attachment 2113495
Pamoja na Wachezaji wengi wa Al Ahly kuwa kwenye Afcon bado jamaa ameendelea kusugua benchi,,basi ni bora arudi tu kwenye ligi ya Wavulana kama mwenzake maana huko kwa Wanaume hapaweziVigogo wa Afrika, Al Ahly wamepoteza mchezo wa nusu fainali ya Klabu Bingwa Dunia kwa kufungwa mabao 2-0 na Palmeiras ya Brazil, usiku wa kuamkia leo.
Kwa maana hiyo AL Ahly sasa wanasubiri kucheza mechi ya kutafuta mshindi wa tatu dhidi ya Al Hilal ya Saudi Arabia au Chelsea ya England ambazo zitacheza leo katika nusu fainali nyingine ya michuano hiyo.
Katika mchezo huo waliopoteza Al Ahly, winga wao, LUIS MIQUISSONE alikuwa benchi na hakutumika.
Kutotumika kwa staa huyo kumetokana na kutokuwa na mwendelezo mzuri uwanjani tangu amesajiliwa na timu hiyo mwanzoni mwa msimu huu akitokea Simba na inaelezwa kuwa hana furaha kwa kuwa hana uhakika wa kucheza katika kikosi cha kwanza.
Presha imezidi kuwa kubwa kwa MIQUISSONE kutoka kwa wachambuzi, mashabiki na wadau wa klabu yake hiyo wakishutumu kuwa alisajiliwa kwa dau kubwa lakini hajaonyesha kile ambacho kilitegemewa.
Mwenzake, Clatous Chama ambaye awaliodoka Pamoja lakini wakienda timu tofauti, amerejea Simba na ameshaanza kuitumikia timu hiyo ambapo naye hakuwa na wakati mzuri uwanjani alipokuwa amesajiliwa na RS Berkane ya Morocco.
Tayari maoni ya mashabiki hawa wa Tanzania wanaamini kuwa ni bora arejee Simba kwani akiendelea kubaki huko atanenepa kwa ajili ya kukaa benchi.
View attachment 2113495
Mbona Msuva, Kisinda, Himid Mao wapo huko wana komaa issue ni uwezo sio rangiWaarabu ni washenzi sana wana dharau sana mara wamchezeshe kama beki mara akae benchi....Daaah
Ukaona comment yako ya kwanza hatoshiMbona Msuva, Kisinda, Himid Mao wapo huko wana komaa issue ni uwezo sio rangi
Haikutosha, nmetafta mfano rahisi hawa walio toka hapa hapa bongoUkaona comment yako ya kwanza hatoshi
Pia kuna wajinga watakubali haya maoni yakoMafanikio ya Thimba ni juhudi binafsi za Mwamedi alizowekeza kwa wahamuzi ndio maana timu ilikuwa inashinda, matokeo hasi ya hizo juhudi yameonekana kwa hakina Chauma na wenzake.
KUNA WAJINGA WATAKUJA KIPINGA HAYA MAONI YANGU!
Kwani kocha wa Al Ahly ni Mwarabu?Waarabu ni washenzi sana wana dharau sana mara wamchezeshe kama beki mara akae benchi....Daaah
Kwani Samatta na Msuva walitoka ligi gani?Ningeshangaa sana, eti mchezaji atoke kwenye ligi hii ya Tanzania iliyojaa maamuzi yenye utata aende ang'are kwenye ligi kubwa kama ya Egypt, it's impossible.
Hao ni wachezaji wadogo hawana mpira wa kuchezea timu kubwa kama Al Ahli saizi yao ni huku huku mchangani wanakocheza na majukwaa.
Rivers waliwapulizieni madawa vyumbani hapa na kwao?Waliingia mkenge kwa kumuona nyota kumbe alikuwa anabebwa na dawa zilizokuwa zikipulizwa vyumba vya kubadilishia nguo na wachezaji nyota wa upinzani kusingiziwa UVIKO
...mkuu, nmezoea kuona ukiandika ki-italic...😊😊😊Sasa dharau ya hao Waarabu iko wapi? Mbona ni kawada sana kwa mchezaji kubadilishiwa majukumu ya kiuchezaji ndani ya uwanja na kocha wake!
Na kama ni huko kukaa benchi, hata wenzake akina Eden Hazard kule Real Madrid wanasugua tu benchi, ingawa walisajiliwa kwa fedha nyingi!
Bidii na maarifa uwanjani ndiyo kila kitu unapo sajiliwa na timu kubwa! Ukiendekeza uvivu, kuruka ruka na kupuyanga tu uwanjani, utawekwa benchi! Na wenzako wata deliver kile kitu ambacho mwalimu anataka.
Mjinga wa kwanza huyu!Pia kuna wajinga watakubali haya maoni yako
Tulikosa key players wetu dakika za mwisho.Rivers waliwapulizieni madawa vyumbani hapa na kwao?
Kama yeye ni mchezaji mzuri ashine Misri basi. Yaani kiwango kishuke baada ya kuhama timu tu tena miez kadhaa!!!!!Miqson ni mchezaji mzuri anaweza kucheza timu yoyote Africa na akashine.
Mambo ya viwango kupanda na kushuka ni kawaida kwa mchezaji. Wanakaa benchi wachezaji wakubwa kuliko hata yeye sembuse Miqson.