Presha yawa kubwa kwa Luis Miquissone, benchi lamtesa, Simba watajwa, wadau Al Ahly waja juu

Mafanikio ya Thimba ni juhudi binafsi za Mwamedi alizowekeza kwa wahamuzi ndio maana timu ilikuwa inashinda, matokeo hasi ya hizo juhudi yameonekana kwa hakina Chauma na wenzake.

KUNA WAJINGA WATAKUJA KIPINGA HAYA MAONI YANGU!
 
Waliingia mkenge kwa kumuona nyota kumbe alikuwa anabebwa na dawa zilizokuwa zikipulizwa vyumba vya kubadilishia nguo na wachezaji nyota wa upinzani kusingiziwa UVIKO
 
Watanzania Kwa roho mbaya mmebarikiwa Sana. Mnamwombea mwenzenu afeli anakolipwa mil.95 ili arudi TANZANIA mumlipe mil.9.5?
 
Pamoja na Wachezaji wengi wa Al Ahly kuwa kwenye Afcon bado jamaa ameendelea kusugua benchi,,basi ni bora arudi tu kwenye ligi ya Wavulana kama mwenzake maana huko kwa Wanaume hapawezi
 
Alhaly kucheza pale lzm uwe na kiwango haswa kuingizwa tu lzm timu ipate matokea lawama huwa sinaenda kwa wachezaji wa nnje ya nnchi yao ndio maan Ni lzm timu ishinde hawajui kudraw cjui kufungwa mbili hkn timu Ni ushind mwanzo mwisho
 
Mafanikio ya Thimba ni juhudi binafsi za Mwamedi alizowekeza kwa wahamuzi ndio maana timu ilikuwa inashinda, matokeo hasi ya hizo juhudi yameonekana kwa hakina Chauma na wenzake.

KUNA WAJINGA WATAKUJA KIPINGA HAYA MAONI YANGU!
Pia kuna wajinga watakubali haya maoni yako
 
Miksoni muli bwanji babaaaaaa

Bongo walikuwa wanavutishwa mibangi ndo wanaenda kuruka ruka uwanjani
 
Kwani Samatta na Msuva walitoka ligi gani?
Mpira ni kipaji haijalishi unatoka wapi
 
Waliingia mkenge kwa kumuona nyota kumbe alikuwa anabebwa na dawa zilizokuwa zikipulizwa vyumba vya kubadilishia nguo na wachezaji nyota wa upinzani kusingiziwa UVIKO
Rivers waliwapulizieni madawa vyumbani hapa na kwao?
 
...mkuu, nmezoea kuona ukiandika ki-italic...😊😊😊
 
Miqson ni mchezaji mzuri anaweza kucheza timu yoyote Africa na akashine.

Mambo ya viwango kupanda na kushuka ni kawaida kwa mchezaji. Wanakaa benchi wachezaji wakubwa kuliko hata yeye sembuse Miqson.
 
Wahuni Hawa wameidhoofisha Sana Simba

Wahuni Hawa alhaly wahuni
 
Miqson ni mchezaji mzuri anaweza kucheza timu yoyote Africa na akashine.

Mambo ya viwango kupanda na kushuka ni kawaida kwa mchezaji. Wanakaa benchi wachezaji wakubwa kuliko hata yeye sembuse Miqson.
Kama yeye ni mchezaji mzuri ashine Misri basi. Yaani kiwango kishuke baada ya kuhama timu tu tena miez kadhaa!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…