hotel JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 332 Reaction score 324 Feb 9, 2022 #41 ukikaidi utapigwa2 said: Mbona Msuva, Kisinda, Himid Mao wapo huko wana komaa issue ni uwezo sio rangi Click to expand... Aiseee kumbe wote hao wako pale Al ahly basi dogo nae akomae asirudi bongo.
ukikaidi utapigwa2 said: Mbona Msuva, Kisinda, Himid Mao wapo huko wana komaa issue ni uwezo sio rangi Click to expand... Aiseee kumbe wote hao wako pale Al ahly basi dogo nae akomae asirudi bongo.
M mugoshaa Member Joined Aug 23, 2021 Posts 24 Reaction score 30 Apr 3, 2022 #42 Kitimoto said: Mafanikio ya Thimba ni juhudi binafsi za Mwamedi alizowekeza kwa wahamuzi ndio maana timu ilikuwa inashinda, matokeo hasi ya hizo juhudi yameonekana kwa hakina Chauma na wenzake. KUNA WAJINGA WATAKUJA KIPINGA HAYA MAONI YANGU! Click to expand... Mimi nayaunga mkono sana haya mawazo yako ya KIJINGA.
Kitimoto said: Mafanikio ya Thimba ni juhudi binafsi za Mwamedi alizowekeza kwa wahamuzi ndio maana timu ilikuwa inashinda, matokeo hasi ya hizo juhudi yameonekana kwa hakina Chauma na wenzake. KUNA WAJINGA WATAKUJA KIPINGA HAYA MAONI YANGU! Click to expand... Mimi nayaunga mkono sana haya mawazo yako ya KIJINGA.