chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishawahi kulea mtoto mchanga wewe?Atakuwa amejuaje kwamba wataomba ruhusa za kwenda kunyonyesha je wakisikiliza kipindi kizima?
Wanaoenda kazini wasiende wakishakuwa na watoto watawezaje kazi na huku wakinyonyesha? nchi za wenzetu sheria zimekaaje au wao hawana hizi kesi za ujauzito mashuleni kabisaaaa?Ulishawahi kulea mtoto mchanga wewe?
Hakuna sheria inayomkataza msichana wa shule (aliyepata mimba) kuendelea kusoma shule binafsi.Kila mtu anayo haki yakupata Elimu, ziwkwe taratibu zifike mpaka kwenye jamii sas sheria wamewekewa baba na mama wa mtoto lakini daktari na polisi wanaohongwa je sheria inasemaje ilibidi na wao waende ndani ikibidi had watu wa karibu namna hiyo
Hao ni watu wazima, huwezi fananisha na mtoto wa form two mwenye mtoto.Wanaoenda kazini wasiende wakishakuwa na watoto watawezaje kazi na huku wakinyonyesha? nchi za wenzetu sheria zimekaaje au wao hawana hizi kesi za ujauzito mashuleni kabisaaaa?
Hivi na wewe ulitotoa ndiyo ukaenda shule (mtoto wa Tanga kiherehere)Kuwa mnatoa elimu kwa wote hata mabinti wajawazito?
Waambieni ukweli World Bank kuwa hamsomeshi wenye watoto.
Na wao wameamua kuwa pesa ya elimu hampati.
uropokaji wa mwenyekiti wako umeligharimu taifa.
MaCCM woote mmedhirisha mna akili fupi mnooo,Zitto uelewa wake ni mdogo!
Vipi wale wanaofeli na hawaruhusiwi kuendelea..adhabu inawafaa?Adhabu inapaswa iwe ya kufunza (reformative and not destructive). Kumfukuza mtoto shule siyo reformative kwasababu future yake ya kielimu imekatishiwa mbali. Kwanza huyo ni mtoto hivyo adhabu haipaswi kuwa kali kama vile tuna vinyongo na watoto. Of cause, watoto hawapaswi kujihusisha na mapenzi wakati wakiwa bado wanasoma, lakini si kwa adhabu hii, ifikiriwe adhabu nyingine itakayo wajenga watoto na kuwafanya waone bado wanathaminiwa na taifa lao.
punguza jazba,Wakikopesha deni lizidi si mtachonga vilevile. Na wakihalalisha mimba shuleni si mtachonga vilevile.
Mnatakiwa muwe mnasema WE HATE YOU MAGUFULI
Mimi sio msemaji wa serikali mimi ni mwanajamii.. hakuna mzazi anayefurahia mtoto wake wa kike wa miaka (10 - 17) apate ujauzito, na inauma sana. Na inauma zaidi kuona watu wanalichukulia hili swala kama siasa.Kama serikali mmefanya mikakati gani kuwasaidia?
Halichukuliwi kama siasa, world bank wamestudtushwa na kauli ya mkuu wa nchi kuhusu hatima ya mabinti wanaopata mimba shuleni. Jibu ni kufanya mabadiliko na kuwataarifu msimamo mpya wa serikali.Mimi sio msemaji wa serikali mimi ni mwanajamii.. hakuna mzazi anayefurahia mtoto wake wa kike wa miaka (10 - 17) apate ujauzito, na inauma sana. Na inauma zaidi kuona watu wanalichukulia hili swala kama siasa.
Mtoto wa miaka 12 ajifungue leo af kesho aingie darasani unafikiri kisaikolojia future ya elimu itakuwepo? Kwa nini tusipigane kuzuia hilo kutokea? Mnataka tuhalalishe mimba mashuleni?
Sent using Jamii Forums mobile app
punguza jazba,
mdogo wako akibakwa na kupata ujauzito adhabu yake iwe kukosa haki yake ya kupata elimu???
Huko CCM 95% ni mbumbumbu wa maswala ya msingi.
punguza jazba,
mdogo wako akibakwa na kupata ujauzito adhabu yake iwe kukosa haki yake ya kupata elimu???
Huko CCM 95% ni mbumbumbu wa maswala ya msingi.
So kila msichana anabakwa? Sidhani kama wamekaza kwa sababu hiyo.