President Magufuli, he was a true leader and a real son of Africa

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
7,799
Reaction score
14,215
Habari zenu ndugu zangu wa JF wenzangu. Ama baada ya salam ningependa kuandika kile kilichosemwa na ndugu yetu ambae jina lake nimeliambatanisha na kichwa cha habari hapo juu.

Ndugu Zitto amekuwa akiongea ukweli kuhusu viongozi wetu mbalimbali wa kiafrika bila kuangalia chama wala nchi anayotoka kiongozi husika.

Akimuongelea aliekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli, ndugu Zitto alisema kweli kabisa bila kupindisha pindisha maneno kuwa Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla tumepoteza kiongozi ambae alikuwa na sifa tatu muhimu katika maisha yake.

Sifa hizi tatu ndugu Zitto anakiri kwamba viongozi wengi kama sio wote wa bara letu hili hawana. Sifa hizo amezitaja kuwa ni

(1. UZALENDO- Sifa hii anasema ilikuwa ndani ya moyo na akili ya raisi huyo. Ndio maana alikuwa tayari kujitolea chochote ikibidi hata uhai wake kwa ajili ya kulinda rasilimali za nchi yake, kulinda heshima ya nchi yake, heshima ya watu wake na bara lake kwa ujumla. Hii ni sifa ambayo viongozi wengine hauwezi kuwakuta nayo, na sio rahisi kuwa nayo maana washaamua kuwa ma puppet wa weupe (wakihakikishiwa ugali wao, basi kila kitu wanaacha kiende shaghala baghala)

2. UTHUBUTU- Uthubutu ilikuwa ni moja ya sifa zake pia, mfano akiona kuna jambo fulani akilifanya linaweza kuleta maendeleo au ahueni ya maisha kwa wananchi wake, basi atalifanya jambo hilo kwa wakati bila kujali maadui wanamuonaje, wanamuongeleaje au wanapanga kumkwamishaje (hii tumeona katika ule mradi wa kufufua umeme kule Rufiji, na pia alipokuwa anawabana wale wezi wa rasilimali zetu) hadi ikapelekea mabeberu wakanunua baadhi ya watanzania wenzetu ili wajaribu kumletea mkwara wa kushtakiwa sijui miga nk, lakini mwamba hakuogopa kufanya kile alichofanya kwa masilahi ya taifa.

3.MWENYE HURUMA NA MPENDA MAENDELEO- Hili kila mtu analifahamu wala haina haja ya kuliandika. Nikianza na maendeleo, hakuna mtu mwenye macho na akili timamu ambae hajaona maendeleo makubwa yalioletwa na raisi Magufuli katika uongozi wake. Nikija kwenye swala la huruma huko ndo kabisa, aligusa watu wote wa kada mbali mbali kama vile, mama ntilie, machinga, watoto wa masikini ambao walikuwa wanakosa elimu kutoka na kukosa pesa za kuandikishwa, na pia aliwapigania na kuwatetea wanyonge mbali mbali.

Ndugu Zitto anasema kwamba sifa hizo kuu na zingine ndio zilizomfanya mwamba huyu apendwe sana nchi kwake na Afrika kwa ujumla, hali iliyopelekea msiba wake kugusa watu wengi wa ndani na nje ya Tanzania.

Zitto ametolea mfano wa kinachoendelea sasa hivi nchini, kwamba pamoja na watu kujaribu kumtupia mishale kwa kumkashifu na kumchafua Rais huyo, lakini mwamba bado ana mamilioni ya watanzania kutoka kada na vyama mbali mbali wamekuwa wakionesha kuguswa na kupinga kabisa utaratibu huo wa kujaribu kumchafua mtu ambae kamwe hawezi kuchafuka.

Ukitaka kujua kama Magufuli yupo ndani ya mioyo ya watu, just soma comment za watu pale unapoanzishwa uzi wa kumchafua Rais huyo, iwe kupitia kauli za viongozi wa serikali au wapinzani, lazima utakutana na makumi, mamia au maelfu ya watanzania wakipinga kashfa husika. Na hii ilijionesha hata katika uchaguzi mkuu, ambapo japo wapinzani walisimamisha wagombea kutoka ulaya, wengine wakasimamisha majasusi wabobezi, lakini bado waliangukia pua tena vibaya mno.

Hii inaonesha kwamba kuna watu humu JF wapo upinzani kwa lengo la kuvuna vijidata na ela ya kula kutoka kwa viongozi wao, lakini mioyoni mwao wanakuwa na chaguo lao kwa mtu wanaemuona yupo serious na shida zao za kitaifa.

BTW: Napenda kutumia nafasi hii kumshukuru ndugu Zitto Mardebela kwa mchango wake. Huyu ni mwaafrika mwenzetu na ni raia wa Botswana.

Don't forget kuangalia Royal Tour Tanzania- Pongezi kwa raisi Samia kwa kuitangaza nchi yetu vema.

download (7).jpeg
 
Habari zenu ndugu zangu wa JF wenzangu. Ama baada ya salam ningependa kuandika kile kilichosemwa na ndugu yetu ambae jina lake nimeliambatanisha na kichwa cha habari hapo juu.

Ndugu Zitto amekuwa akiongea ukweli kuhusu viongozi wetu mbalimbali wa kiafrika bila kuangalia chama wala nchi anayotoka kiongozi husika.

Akimuongelea aliekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli, ndugu Zitto alisema kweli kabisa bila kupindisha pindisha maneno kuwa Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla tumepoteza kiongozi ambae alikuwa na sifa tatu muhimu katika maisha yake.

Sifa hizi tatu ndugu Zitto anakiri kwamba viongozi wengi kama sio wote wa bara letu hili hawana. Sifa hizo amezitaja kuwa ni

(1. UZALENDO- Sifa hii anasema ilikuwa ndani ya moyo na akili ya raisi huyo. Ndio maana alikuwa tayari kujitolea chochote ikibidi hata uhai wake kwa ajili ya kulinda rasilimali za nchi yake, kulinda heshima ya nchi yake, heshima ya watu wake na bara lake kwa ujumla. Hii ni sifa ambayo viongozi wengine hauwezi kuwakuta nayo, na sio rahisi kuwa nayo maana washaamua kuwa ma puppet wa weupe (wakihakikishiwa ugali wao, basi kila kitu wanaacha kiende shaghala baghala)

2. UTHUBUTU- Uthubutu ilikuwa ni moja ya sifa zake pia, mfano akiona kuna jambo fulani akilifanya linaweza kuleta maendeleo au ahueni ya maisha kwa wananchi wake, basi atalifanya jambo hilo kwa wakati bila kujali maadui wanamuonaje, wanamuongeleaje au wanapanga kumkwamishaje (hii tumeona katika ule mradi wa kufufua umeme kule Rufiji, na pia alipokuwa anawabana wale wezi wa rasilimali zetu) hadi ikapelekea mabeberu wakanunua baadhi ya watanzania wenzetu ili wajaribu kumletea mkwara wa kushtakiwa sijui miga nk, lakini mwamba hakuogopa kufanya kile alichofanya kwa masilahi ya taifa.

3.MWENYE HURUMA NA MPENDA MAENDELEO- Hili kila mtu analifahamu wala haina haja ya kuliandika. Nikianza na maendeleo, hakuna mtu mwenye macho na akili timamu ambae hajaona maendeleo makubwa yalioletwa na raisi Magufuli katika uongozi wake. Nikija kwenye swala la huruma huko ndugu kabisa, aligusa watu wote wa kada mbali mbali kama vile, mama ntilie, machinga, watoto wa masikini ambao walikuwa wanakosa elimu kutoka na kukosa pesa za kuandikishwa na wanyonge mbali mbali.

Ndugu Zitto anasema kwamba sifa hizo kuu na zingine ndio zilizomfanya huyu mwamba apendwe sana nchi kwake na Afrika kwa ujumla, hali iliyopelekea msiba wake kugusa watu wengi wa ndani na nje ya Tanzania.

Zitto ametolea mfano wa kinachoendelea sasa hivi nchini, kwamba pamoja na watu kujaribu kumtupia mishale kwa kumkashifu na kumchafua Rais huyo, lakini mwamba bado ana mamilioni ya watanzania kutoka kada na vyama mbali mbali wamekuwa wakionesha kuguswa na kupinga kabisa utaratibu huo wa kujaribu kumchafua mtu ambae kamwe hawezi kuchafuka.

Ukitaka kujua kama Magufuli yupo ndani ya mioyo ya watu, just soma comment za watu pale unapoanzishwa uzi wa kumchafua Rais huyo, iwe kupitia kauli za viongozi wa serikali au wapinzani, lazima utakutana na makumi, mamia au maelfu ya watanzania wakipinga kashfa husika. Na hii ilijionesha hata katika uchaguzi mkuu, ambapo japo wapinzani walisimamisha wagombea kutoka ulaya, wengine wakasimamisha majasusi wabobezi, lakini bado waliangukia pua tena vibaya mno.

Hii inaonesha kwamba kuna watu humu JF wapo upinzani kwa lengo la kuvuna vijidata na ela ya kula kutoka kwa viongozi wao, lakini mioyoni mwao wanakuwa na chaguo lao kwa mtu wanaemuona yupo serious na shida zao.

BTW: Napenda kutumia nafasi hii kumshukuru ndugu Zito Mardebela kwa mchango wake. Huyu ni mwaafrika mwenzetu na ni raia wa Botswana.

Don't forget kuangalia Royal Tour Tanzania- Pongezi kwa raisi Samia kwa kuitangaza nchi yetu vema.

View attachment 2204679
So what!
 
Screenshot_20210505-181554.png
 
Sikuamini ni zitto kabwe anamzungumzia hayo ya ukweli magufuli hadi mwisho nasoma makala hii. Akili yangu tayari ilikua ina format madongo kwake hadi nilipoona kumbe ni maoni ya Zitto Mardebela wa Botswana 😂
 
S

Mkuu huyu Zitto Mardebela anamshinda Zitto Kabwe na mbali sana 🤣🤣🤣. Kabwe yeye ni mnafiki, wakati Mardebela ni mkweli.
 
Mataga bana viingereza vyenyewe broken yani shida tu kama babayao mwendazake
 
Back
Top Bottom