Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hatari snNdiyo maana huwezi kujua mtu ambaye ni wa maana na takataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari snNdiyo maana huwezi kujua mtu ambaye ni wa maana na takataka
umesema sina nyongezaHabari zenu ndugu zangu wa JF wenzangu. Ama baada ya salam ningependa kuandika kile kilichosemwa na ndugu yetu ambae jina lake nimeliambatanisha na kichwa cha habari hapo juu.
Ndugu Zitto amekuwa akiongea ukweli kuhusu viongozi wetu mbalimbali wa kiafrika bila kuangalia chama wala nchi anayotoka kiongozi husika.
Akimuongelea aliekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli, ndugu Zitto alisema kweli kabisa bila kupindisha pindisha maneno kuwa Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla tumepoteza kiongozi ambae alikuwa na sifa tatu muhimu katika maisha yake.
Sifa hizi tatu ndugu Zitto anakiri kwamba viongozi wengi kama sio wote wa bara letu hili hawana. Sifa hizo amezitaja kuwa ni
(1. UZALENDO- Sifa hii anasema ilikuwa ndani ya moyo na akili ya raisi huyo. Ndio maana alikuwa tayari kujitolea chochote ikibidi hata uhai wake kwa ajili ya kulinda rasilimali za nchi yake, kulinda heshima ya nchi yake, heshima ya watu wake na bara lake kwa ujumla. Hii ni sifa ambayo viongozi wengine hauwezi kuwakuta nayo, na sio rahisi kuwa nayo maana washaamua kuwa ma puppet wa weupe (wakihakikishiwa ugali wao, basi kila kitu wanaacha kiende shaghala baghala)
2. UTHUBUTU- Uthubutu ilikuwa ni moja ya sifa zake pia, mfano akiona kuna jambo fulani akilifanya linaweza kuleta maendeleo au ahueni ya maisha kwa wananchi wake, basi atalifanya jambo hilo kwa wakati bila kujali maadui wanamuonaje, wanamuongeleaje au wanapanga kumkwamishaje (hii tumeona katika ule mradi wa kufufua umeme kule Rufiji, na pia alipokuwa anawabana wale wezi wa rasilimali zetu) hadi ikapelekea mabeberu wakanunua baadhi ya watanzania wenzetu ili wajaribu kumletea mkwara wa kushtakiwa sijui miga nk, lakini mwamba hakuogopa kufanya kile alichofanya kwa masilahi ya taifa.
3.MWENYE HURUMA NA MPENDA MAENDELEO- Hili kila mtu analifahamu wala haina haja ya kuliandika. Nikianza na maendeleo, hakuna mtu mwenye macho na akili timamu ambae hajaona maendeleo makubwa yalioletwa na raisi Magufuli katika uongozi wake. Nikija kwenye swala la huruma huko ndo kabisa, aligusa watu wote wa kada mbali mbali kama vile, mama ntilie, machinga, watoto wa masikini ambao walikuwa wanakosa elimu kutoka na kukosa pesa za kuandikishwa, na pia aliwapigania na kuwatetea wanyonge mbali mbali.
Ndugu Zitto anasema kwamba sifa hizo kuu na zingine ndio zilizomfanya mwamba huyu apendwe sana nchi kwake na Afrika kwa ujumla, hali iliyopelekea msiba wake kugusa watu wengi wa ndani na nje ya Tanzania.
Zitto ametolea mfano wa kinachoendelea sasa hivi nchini, kwamba pamoja na watu kujaribu kumtupia mishale kwa kumkashifu na kumchafua Rais huyo, lakini mwamba bado ana mamilioni ya watanzania kutoka kada na vyama mbali mbali wamekuwa wakionesha kuguswa na kupinga kabisa utaratibu huo wa kujaribu kumchafua mtu ambae kamwe hawezi kuchafuka.
Ukitaka kujua kama Magufuli yupo ndani ya mioyo ya watu, just soma comment za watu pale unapoanzishwa uzi wa kumchafua Rais huyo, iwe kupitia kauli za viongozi wa serikali au wapinzani, lazima utakutana na makumi, mamia au maelfu ya watanzania wakipinga kashfa husika. Na hii ilijionesha hata katika uchaguzi mkuu, ambapo japo wapinzani walisimamisha wagombea kutoka ulaya, wengine wakasimamisha majasusi wabobezi, lakini bado waliangukia pua tena vibaya mno.
Hii inaonesha kwamba kuna watu humu JF wapo upinzani kwa lengo la kuvuna vijidata na ela ya kula kutoka kwa viongozi wao, lakini mioyoni mwao wanakuwa na chaguo lao kwa mtu wanaemuona yupo serious na shida zao za kitaifa.
BTW: Napenda kutumia nafasi hii kumshukuru ndugu Zitto Mardebela kwa mchango wake. Huyu ni mwaafrika mwenzetu na ni raia wa Botswana.
Don't forget kuangalia Royal Tour Tanzania- Pongezi kwa raisi Samia kwa kuitangaza nchi yetu vema.
View attachment 2204679
Hakuna mkuu, labda ipite miaka 100 ijayo.Hakuna wa kumkaribia JPM kwa sasa.
Wala haujakosea mkuu.Wanaomkashifu JPM wanafamika na sifa zao ni tatu tuu
Mafisadi, Wauza ngada na vyeti feki
Watu kama hao hivi watampendaje Kwa mfano
Hahaha umenichekesha mkuu 🤣🤣🤣Ndiyo maana huwezi kujua mtu ambaye ni wa maana na takataka
Shukran sana kwa mchango wako mkuu, japo ni mfupi lkn umebeba ujumbe mzito 🙏umesema sina nyongeza
Nakuona mwizi wa msoga unapinga uchapa-kazi wa Dr. Magufuli.So what!
Kwani kafariki?Ishia kuvaa t shirt za Umoja Party lakini Dikteta harudi tena hata uomboleze vipi.
Huyo Mardebela alikuwa anaishi wapi kipindi hicho? Maana nijuavyo mimi, huwezi sifia chakula usichokila. Ukila utajua kiasi cha chumvi na pilipili yakeMkuu huyu Zitto Mardebela anamshinda Zitto Kabwe na mbali sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kabwe yeye ni mnafiki, wakati Mardebela ni mkweli.
Hakika mkuu, mbona ipo wazi kuwa 2025, kuna wagombea wa CCM, Chadema na wapinzani wengine wataomba kura kwa wanyonge na walalahoi kupitia jina la Magufuli.Kwani kafariki?
Mbona ukiwasililiza CHADEMA na CCM ni kama bado yupo?
Tusubiri 2025, viongozi wetu wa ccm na upinzani waanze kuomba kura kupitia jina la hayati magufuli ili kupata ahueni ya kuchaguliwa.Kwa hiyo, sisi tufanyeje sasa?
Nimekupata mkuu wangu, shukran sana 🙏Nilidhani zitto wa njaa kumbe ni Zitto wa kushiba, sometimes haya majina yatofautishwe tusije acha kusoma uzi kumbe ni bland nyingine kabisa ya mtu ndiye kaandika.
Ameishi Tanzania miaka 4, kuanzia 2017 hadi 2021.Huyo Mardebela alikuwa anaishi wapi kipindi hicho? Maana nijuavyo mimi, huwezi sifia chakula usichokila. Ukila utajua kiasi cha chumvi na pilipili yake
Sisi familia za azory ,bensanane ,wafanyabiashara wa korosho umetusahau kwa listWanaomkashifu JPM wanafamika na sifa zao ni tatu tuu
Mafisadi, Wauza ngada na vyeti feki
Watu kama hao hivi watampendaje Kwa mfano
IndeedRubbish
Hawa ndio wale ambao magufuli alifanikiwa sana kuwadanganya kutoka mbali. He was the most terrible leader of our time.Habari zenu ndugu zangu wa JF wenzangu. Ama baada ya salam ningependa kuandika kile kilichosemwa na ndugu yetu ambae jina lake nimeliambatanisha na kichwa cha habari hapo juu.
Ndugu Zitto amekuwa akiongea ukweli kuhusu viongozi wetu mbalimbali wa kiafrika bila kuangalia chama wala nchi anayotoka kiongozi husika.
Akimuongelea aliekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli, ndugu Zitto alisema kweli kabisa bila kupindisha pindisha maneno kuwa Tanzania, Afrika na Dunia kwa ujumla tumepoteza kiongozi ambae alikuwa na sifa tatu muhimu katika maisha yake.
Sifa hizi tatu ndugu Zitto anakiri kwamba viongozi wengi kama sio wote wa bara letu hili hawana. Sifa hizo amezitaja kuwa ni
(1. UZALENDO- Sifa hii anasema ilikuwa ndani ya moyo na akili ya raisi huyo. Ndio maana alikuwa tayari kujitolea chochote ikibidi hata uhai wake kwa ajili ya kulinda rasilimali za nchi yake, kulinda heshima ya nchi yake, heshima ya watu wake na bara lake kwa ujumla. Hii ni sifa ambayo viongozi wengine hauwezi kuwakuta nayo, na sio rahisi kuwa nayo maana washaamua kuwa ma puppet wa weupe (wakihakikishiwa ugali wao, basi kila kitu wanaacha kiende shaghala baghala)
2. UTHUBUTU- Uthubutu ilikuwa ni moja ya sifa zake pia, mfano akiona kuna jambo fulani akilifanya linaweza kuleta maendeleo au ahueni ya maisha kwa wananchi wake, basi atalifanya jambo hilo kwa wakati bila kujali maadui wanamuonaje, wanamuongeleaje au wanapanga kumkwamishaje (hii tumeona katika ule mradi wa kufufua umeme kule Rufiji, na pia alipokuwa anawabana wale wezi wa rasilimali zetu) hadi ikapelekea mabeberu wakanunua baadhi ya watanzania wenzetu ili wajaribu kumletea mkwara wa kushtakiwa sijui miga nk, lakini mwamba hakuogopa kufanya kile alichofanya kwa masilahi ya taifa.
3.MWENYE HURUMA NA MPENDA MAENDELEO- Hili kila mtu analifahamu wala haina haja ya kuliandika. Nikianza na maendeleo, hakuna mtu mwenye macho na akili timamu ambae hajaona maendeleo makubwa yalioletwa na raisi Magufuli katika uongozi wake. Nikija kwenye swala la huruma huko ndo kabisa, aligusa watu wote wa kada mbali mbali kama vile, mama ntilie, machinga, watoto wa masikini ambao walikuwa wanakosa elimu kutoka na kukosa pesa za kuandikishwa, na pia aliwapigania na kuwatetea wanyonge mbali mbali.
Ndugu Zitto anasema kwamba sifa hizo kuu na zingine ndio zilizomfanya mwamba huyu apendwe sana nchi kwake na Afrika kwa ujumla, hali iliyopelekea msiba wake kugusa watu wengi wa ndani na nje ya Tanzania.
Zitto ametolea mfano wa kinachoendelea sasa hivi nchini, kwamba pamoja na watu kujaribu kumtupia mishale kwa kumkashifu na kumchafua Rais huyo, lakini mwamba bado ana mamilioni ya watanzania kutoka kada na vyama mbali mbali wamekuwa wakionesha kuguswa na kupinga kabisa utaratibu huo wa kujaribu kumchafua mtu ambae kamwe hawezi kuchafuka.
Ukitaka kujua kama Magufuli yupo ndani ya mioyo ya watu, just soma comment za watu pale unapoanzishwa uzi wa kumchafua Rais huyo, iwe kupitia kauli za viongozi wa serikali au wapinzani, lazima utakutana na makumi, mamia au maelfu ya watanzania wakipinga kashfa husika. Na hii ilijionesha hata katika uchaguzi mkuu, ambapo japo wapinzani walisimamisha wagombea kutoka ulaya, wengine wakasimamisha majasusi wabobezi, lakini bado waliangukia pua tena vibaya mno.
Hii inaonesha kwamba kuna watu humu JF wapo upinzani kwa lengo la kuvuna vijidata na ela ya kula kutoka kwa viongozi wao, lakini mioyoni mwao wanakuwa na chaguo lao kwa mtu wanaemuona yupo serious na shida zao za kitaifa.
BTW: Napenda kutumia nafasi hii kumshukuru ndugu Zitto Mardebela kwa mchango wake. Huyu ni mwaafrika mwenzetu na ni raia wa Botswana.
Don't forget kuangalia Royal Tour Tanzania- Pongezi kwa raisi Samia kwa kuitangaza nchi yetu vema.
View attachment 2204679
Uwepo wa magufuri ikulu takatifu ya Tanzania ilikuwa ni laana.Habari zenu ndugu zangu wa JF wenzangu. Ama baada ya salam ningependa kuandika kile kilichosemwa na ndugu yetu ambae jina lake nimeliambatanisha na kichwa cha habari hapo juu.

FoolWanaomkashifu JPM wanafamika na sifa zao ni tatu tuu