President Mobutu Sese Seko of Zaire

Mke wa kwanza Anmarie alikufariki akiwa na umri wa mika 36 na alimzalia mzee watoto 14.
 
Kwa raha zake, wanasema kwenye udhia penyeza rupia.

Nina mashaka na jina la mke wa kwanza wa Mobutu ,linafanana kabisa na jina la mke wa aliyekuwa mfalme wa Ufaransa Francis wa pili aliyehudumu wakati wa Reconaicence!!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nina mashaka na jina la mke wa kwanza wa Mobutu ,linafanana kabisa na jina la mke wa aliyekuwa mfalme wa Ufaransa Francis wa pili aliyehudumu wakati wa Reconaicence!!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Marie Antoinette (/ˈmæriˌæntwəˈnɛt/, /ˌɑ̃ːntwə-/, /ˌɑ̃ːtwə-/, US /məˈriː-/;[1] French: [maʁi ɑ̃twanɛt]; born Maria Antonia Josepha Johanna von Habsburg-Lothringen (2 November 1755 – 16 October 1793), an Archduchess of Austria, was the fifteenth and second youngest child of Francis I, Holy Roman Emperor and Empress Maria Theresa.

Hakua mke wa mfalme bali mtoto wa mfalme Francis. Enzi za ukoloni ilikua sifa kumpa jina la mzungu mtoto. Kama Dr Banda Hastings lilikua jina la mchungaji.
 
Jamaa alikuwa fundi kweli. Alijilia mapacha dadadadeki
 
Tupe funzo kwa hii massage, acha ujanja janja
Da! Ww Wa ajabu Sana kwani hujui maana ya historia
 
Gbadolite ni mji katika nchi ya Congo na sio jumba au palace kama ulivyoandika,ni huko Mobutu alijenga uwanja wa ndege mkubwa kwa wakati huo wa kuweza kutua madege makubwa ilihali haukua mji unaostahili kuwa na kiwanja kikubwa hivyo,bali alifanya hivyo kwakua ni nyumbani kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…