Asante mkuu.Gbadolite ni mji katika nchi ya Congo na sio jumba au palace kama ulivyoandika,ni huko Mobutu alijenga uwanja wa ndege mkubwa kwa wakati huo wa kuweza kutua madege makubwa ilihali haukua mji unaostahili kuwa na kiwanja kikubwa hivyo,bali alifanya hivyo kwakua ni nyumbani kwao.
Asante pia sister.Asante mkuu.
Kwa nini alifia morocco?Asante mkuu.
Yule raisi aliyepigwa risasi nadhani anaitwa kabila na yeye alihusika kumtoa jamaa madarakani au yeye ni ishu nyingine?Majeshi ya upinzani yalichukua madaraka na yeye ilibidi aombe hifadhi ya ukimbizi Morocco. Hata hivyo inasemekana mfalme wa Morocco alipewa pesa nyingi sana na Moboutu enzi za utawala wake.
Shukrani sista naendelea kukufuatilia.Unajua sijaimaliza yote nitaendelea, ni kweli alihusika. Nikiendelea ninadhani nitapunguza picha maelezo ni mengi.
Huyu atakuwa ndiye mgunduzi wa ule "unga wa kongo"!!!!! jahaaahaaahaaaaa!Duuu miaka 36 watoto 14!.... Jamaa alikuwa hatari
Congo lilikuwa koloni la Ubeligiji na huyu binti inaelekea wazazi wake walikuwa katika system za ukoloni, inaeleke alibatizwa na jina hilo. Ninasikia mzee alimpenda sana Marie Antoinette.Nakumbuka jina marie antoinette alikuwa mke wa king louis XVI wa ufaransa mwenye asili ya austria .....au majina yao yanafanana ? What a coincidence!!.
Huwa ninakukubali sana mambo yako kwenye jukwaa hili...ila nikikusoma kule Celebrity forum...hapo huwa napatwa na kigugumizi....maake huku uko very smart upstairs...kule naona unamwaga umbea(mnauuita ubuyu)....hapo huwa nachoka kabisa.Congo lilikuwa koloni la Ufaransa na huyu binti inaelekea wazazi wake walikuwa katika system za ukoloni, inaeleke alibatizwa na jina hilo. Ninasikia mzee alimpenda sana Marie Antoinette.
Mkuu end of the day I am a human being.Huwa ninakukubali sana mambo yako kwenye jukwaa hili...ila nikikusoma kule Celebrity forum...hapo huwa napatwa na kigugumizi....maake huku uko very smart upstairs...kule naona unamwaga umbea(mnauuita ubuyu)....hapo huwa nachoka kabisa.
:
Mbombo ngafuuuuuuu....kana ka nsungu umwelu.
Yeah..sure mkuu.Mkuu end of the day I am a human being.