President Mobutu Sese Seko of Zaire

President Mobutu Sese Seko of Zaire

Story ndefu hujaipanga katika mtililiko mzuri..by the way tumekupata
 
Kichwa cha habari: Dikteta Tajiri Aliyeishi Kwenye Mwenendo wa Umaskini.

Habari yenyewe: Inakuonyesha mtu akiishi kwa anasa akifuja pesa, kumiliki mali na kukodi ndege kila anapotaka.

Kazi ipo
Hakujua kuweka pesa na atumie vipi wakati anakufa alikuwa masikini kama si yeye

So yaeza kuwa ni masikini wa akili pia......

Jaribu kutumia akili japo nusu tu uelewe ulichokisoma

Sorry Chief
 
Hahaha umeamua kukimbilia kutukana au siyo?

Kwahiyo maskini ndiyo hua wanafuja pesa?

Wananunua magari 140?

Wanakodi ndege?

Ukiambiwa hakuna relevance ya kichwa na habari husika unajifanya una akili kushinda wenzako, lafaeli unazingua.
Sijatukana Chief ila nimeuona uelewa wako katika akili ya kufikiria zaidi ya wengine

Twende sawa haya ni maandiko tu vijembe havina maana saana vitachochea tu viuhasama ikiwa hata majina tu hatujuani
 
Hakujua kuweka pesa na atumie vipi wakati anakufa alikuwa masikini kama si yeye

So yaeza kuwa ni masikini wa akili pia......

Jaribu kutumia akili japo nusu tu uelewe ulichokisoma

Viongozi wengi wa Africa ni punguani kwani wanawatumia watu wa nje kama wakala wao kuibia nchi zao na mwisho wa siku wanaofaidi na wizi huo ni hao mawakala wao; iko mifano mingi kama huko Africa Kusini THE GUPTA family wamefaidika na utawala wa Zuma na hapa Tanzania HOME SHOPPING CENTRE/ SUBASH PATEL ndio waliokuwa mawakala wakubwa enzi ya Kikwete!!
 
Kichwa cha habari: Dikteta Tajiri Aliyeishi Kwenye Mwenendo wa Umaskini.

Habari yenyewe: Inakuonyesha mtu akiishi kwa anasa akifuja pesa, kumiliki mali na kukodi ndege kila anapotaka.

Kazi ipo
Mwenye macho haambiwi tazama....fikirisha ubongo wako....
 
Back
Top Bottom