President ngabu n, tolea ufafanuzi swala hili

Hakika we ni zaidi ya Rais wa wabeba mabox.....by the way jamaa watakua wamejifunza kitu...
 

Suali umelielekeza kwa Rais lakini hapo naona kama ni ukosefu wa makaratasi ndio tatizo. Hawezi kutoka maana hataweza kurudi tena.
 
Vijana njooni bongo tusukume mbele gurudumu la maendeleo mtaolewa na wanawake hadi lini?
 

Ha Ha Ha! Kwa hiyo Mkuu we ushajipatia Tunye Tunye lako!
 
Uraisi zigo la misumari!!!
Na nimeamini ukiwa raisi jiandae kutoa lekcha hata ya kupika bajia na uwe unajua.

hahaha itabidi tu ujue or else utatolewa uraisi kwa "vote of no confidence"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…