Mimi sishauri mbeba mabox yeyote yule ajihusishe na wanugu katika kusaka makaratasi.
Wanugu siyo reliable kabisa. Kuna wabeba maboksi kibao wameachwa njiani kabla hata ishu zao hazijaeleweka. Wanugu wakishajua wewe shida yako makaratasi watakutesa sana aisee. Utajuta kuzaliwa.
Nina mshikaji alikuwa anateswa sana na mchuchu wake wa kinugu. Mara afungiwe nje wakati wa winter. Mara aitiwe polisi kisa wamedundana. Weekends mchuchu anatoka na wanugu wenzake wanaenda club.
Mijamaa inakuja kumchukua demu na mi Cadillac Escalades yenye 24 inch spinners jamaa anabaki nyumbani tu anaugulia maumivu. Yaani full drama kwa kwenda mbele.
Mpaka leo hii mshikaji hajapata makaratasi na bongo kurudi hawezi na unyamwezini ana miaka 12 sasa. Yaliyobaki ni majuto tu.
Makaratasi ya uhakika na yasiyo na drama yanapatikana kupitia kwa wachuchu wa kizungu hususan wale vibonge. Yaani kwa mfano ukilipata tunye tunye lenye kilo kama 300 hivi hapo lazima uirambe kijani yako kiulaini sana.
Haya ma XXXL huwaga hayako demanding kama jinsi vi beauty queens vilivyo. Hayajali kama wewe una hela au huna. Unachotakiwa kufanya ni kuyapa dozi ya uhakika walau mara mbili kwa wiki hivi. Si unajua tena haya huwaga hayana soko kihivyo...sasa yakimpata mtu anayegawa dozi ya ukweli....utakuwa umemaliza kila kitu.
Ukiliridhisha utatendewa kama mwana mfalme. Utapikiwa, ukirudi toka kwenye boksi unakuta msosi mezani. Halafu uzuri wake haya huwa yako tayari hata kujifunza jinsi ya kupika wali nyama. Yaani utatunzwa kuliko hata wazazi wako walivyokutunza.
Sasa haya ma XXXL yanapatikana maeneo ya Midwest na kule Pacific Northwest. Pande za East Coast na Deep South hayapatikani kiurahisi. Kwa hiyo mtu kama haupo maeneo hayo na una mahesabu ya kujikamatia kijani yako mimi nashauri ufunge virago uhamie pande za Minesotta, North na South Dakota, Illinois, Wisconsin, Iowa, au hata Michigan na Indiana.
Halafu epuka miji mikubwa mikubwa kama Chicago na Minneapolis-St.Paul. Tafuta miji midogo midogo kama Winona, Schaumburg, Dubuque, Forest City, n.k.
Huko kwenye hivyo vi miji vidogo mtu mweusi yeyote wenzio wanakuona kama P Diddy. Na mkiwa wachache basi mtaila sana hiyo mi XXXL.
Na hata ukifanya utafiti wa haraka haraka utaona kwamba wabeba mabox wengi walioko pande za huko Midwest makaratasi wanayo. Na ukiangalia wabeba maboksi walio kwa mfano huko Texas, ni wachache sana wenye kijani na ndo maana wanaishia kuwa wazungu wa chip.