President Obama: The Inauguration

President Obama: The Inauguration

Hivi ni kweli kwamba kuna threat kutoka kwa EAST AFRICAN PEOPLE kuhusinana na Obama Inauguration maana nimesikia dakika 10 zilizopita kupitia FOX News kwamba wanataka kuvuruga sherehe hizi- Habari hizi wanasema wamezipata kupitia FBI. Please kwa mwenye kujua zaidi. Naomba Mungu isiwe Watanzania wamo
 
opaque-albums-op-pics-picture331-crowd.jpg

opaque-albums-op-pics-picture330-obamacar.jpg
 
Mimi naogopa tu huyu asiwe masihi, maana masihi alisulubiwa baada ya miaka 3 tu ya huduma. Obama kawekewa matumaini mengi mno na wamarekani na dunia. Kuna andiko la Biblia husema "apewaye vingi huwiwa vingi". Watakapoanza kumdai hayo mategemeo waliyonayo ataanza kuonekana kama vile hakuna anachofanya!
 
Kinachotia moyo ni kwamba opinion polls zinaonyesha Wamarekani wanatambua kwamba hakuna Rais wa US aliyeingia madarakani wakati nchi ikiwa katika matatizo makubwa kama ilivyo sasa. Hivyo wengi wapo tayari kumpa muda hata wa miaka miwili kabla ya kuanza kuona mafanikio ya sera zake.

Hili linatia moyo sana maana pamoja na watu kuwa katika hali mbaya sana kutokana na kupoteza ajira zao na assets zao mbali mbali zikiwemo nyumba asilimia kubwa wanaonyesha subira ya hali ya juu kitu ambacho si kawaida kwa Wamarekani.
 
Hivi ni kweli kwamba kuna threat kutoka kwa EAST AFRICAN PEOPLE kuhusinana na Obama Inauguration maana nimesikia dakika 10 zilizopita kupitia FOX News kwamba wanataka kuvuruga sherehe hizi- Habari hizi wanasema wamezipata kupitia FBI. Please kwa mwenye kujua zaidi. Naomba Mungu isiwe Watanzania wamo

...BBC news nao wamelisema hilo sasa hivi,... hawaja elaborate!
 
hao east african wamoja wao watakuwa Nyani Ngabu na The Truth!
 
Hivi ni kweli kwamba kuna threat kutoka kwa EAST AFRICAN PEOPLE kuhusinana na Obama Inauguration maana nimesikia dakika 10 zilizopita kupitia FOX News kwamba wanataka kuvuruga sherehe hizi- Habari hizi wanasema wamezipata kupitia FBI. Please kwa mwenye kujua zaidi. Naomba Mungu isiwe Watanzania wamo

unajua wakenya wanaleta aibu katika mambo mengine, kwa mfano: wamemtafuta kijan anayefanana na Obama, wamemfanya Obama wao. wamempatia wife na watoto wawili, wamempatia magari na ulinzi mkubwa wenye hadhi ya Rais. Leo siku nzima alikuwa anazunguka mitaani na motorcade yake na usalama full, akiwahutubia watu (sasa alikuwa anasema nini sijui). Wakati huu anakaribia kuapishwa. Yaani wanafuata kinachotokea US sasa sijui atasema nini wakati wa kuapa na atakuwa nani baada ya kuapa. huu ni ujinga uliopita kiasi.
 
Muulize Nyani Mccain maana huyo ni jamaa yake wa karibu sana!

Nyani amekamatwa na nusanusa kwa kosa la kuingia na pistol uwanjani.wewe nyani wewe unajua hiyo pistol yako inaweza kupitiza ikaleta shida huku,bwahhaaahahahahaha
 
Leo saa sita "muchana" sasa kazi inaanza kwa Obama.Kutakuwa na Rais mmoja kwa wakati mmoja
 
NN, my brother from another race mother..... I think it's about right time you revisited the following thread: https://www.jamiiforums.com/complai...ele-na-nyani-ngabu.html?highlight=nyani+ngabu

Some sort of diagnosis was highlighted there.... i don't know what sort of therapy you're in need of..
Ni kwanini lakini huwapendi wakina Obama wewe?!!!! 🙁 chuki, au...?!

No chuki hapa. Tatizo la wengi wenu mnachukulia JF kama msaafu fulani hivi. Sio kila kitu kinachoandikwa hapa ni serious kihivyo. Hata majina yetu wengi humu hatutumii ya kweli.

Oh well, whatever mtakavyonichukulia so be it. Today I'm very proud to be an American and America is the greatest country in the world, bar none!
 
Hapo poa NN. Unajua mkuu, umerudia rudia sana statement hizo kwenye huu 'msaafu'.... sasa sisi kama binadamu sometimes tunaanza kuamini kuwa maandishi yako ni moja ya 'holy scripts'... I think most of us are spending far too much time hapa bila kulazimishwa, hivyo pale mtu kama steved, NN, Mkjj, Rev, n.k... wanapotania, mtu unakuwa unajua kabisa kuwa they're just trying to pull a leg, na pale walipo serious au kuwa satirical, likewise, hints za hayo mtu unakuwa unazishitukia mapema kabisa... unakumbuka pale NN alipouawa kwa kupigwa risasi baada tu ya msiba wa Balali... pipo could easily tell apart the joking side from the really deal.

Basi ndivyo kama ninavyosema.... maneno yakijirudia rudia sana, i think si kosa kwa wengine kuamini hivyo. This being said, I sort of know where you stand bro, and appreciate your sincerity hapo juu, that much of the stuffs shouldn't be taken for holy scripts... Baadae mkulu, ngoja niendelee kuangalia Rais na Messiah wetu wa dunia 🙂
------------
Btw, will update you later about the stuffs...
 
Namuona Husein Obama kashuka kutoka Kenya. Hivi bibi yake pia kaja (yule wa Kenya)?
Mama Aretha Franklin naona anatesa. Sauti kweli umebahatika wewe mama wa soul.
 
No problemo...........
 
Namuona Husein Obama kashuka kutoka Kenya. Hivi bibi yake pia kaja (yule wa Kenya)?
Mama Aretha Franklin naona anatesa. Sauti kweli umebahatika wewe mama wa soul.

You mean yule Onyango Obama anayeishi kwenye kile kibanda pale Nairobi? Lol
 
HoooooooRAAAAAAAAAAAAAAAAY!!!! 🙂 🙂
 
Back
Top Bottom