BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naogopa tu huyu asiwe masihi, maana masihi alisulubiwa baada ya miaka 3 tu ya huduma. Obama kawekewa matumaini mengi mno na wamarekani na dunia. Kuna andiko la Biblia husema "apewaye vingi huwiwa vingi". Watakapoanza kumdai hayo mategemeo waliyonayo ataanza kuonekana kama vile hakuna anachofanya!
Hivi ni kweli kwamba kuna threat kutoka kwa EAST AFRICAN PEOPLE kuhusinana na Obama Inauguration maana nimesikia dakika 10 zilizopita kupitia FOX News kwamba wanataka kuvuruga sherehe hizi- Habari hizi wanasema wamezipata kupitia FBI. Please kwa mwenye kujua zaidi. Naomba Mungu isiwe Watanzania wamo
Hivi ni kweli kwamba kuna threat kutoka kwa EAST AFRICAN PEOPLE kuhusinana na Obama Inauguration maana nimesikia dakika 10 zilizopita kupitia FOX News kwamba wanataka kuvuruga sherehe hizi- Habari hizi wanasema wamezipata kupitia FBI. Please kwa mwenye kujua zaidi. Naomba Mungu isiwe Watanzania wamo
Muulize Nyani Mccain maana huyo ni jamaa yake wa karibu sana!
Yaani I can't take this...I need therapy....
NN, my brother from another race mother..... I think it's about right time you revisited the following thread: https://www.jamiiforums.com/complai...ele-na-nyani-ngabu.html?highlight=nyani+ngabu
Some sort of diagnosis was highlighted there.... i don't know what sort of therapy you're in need of..
Ni kwanini lakini huwapendi wakina Obama wewe?!!!! 🙁 chuki, au...?!
No chuki hapa. Tatizo la wengi wenu mnachukulia JF kama msaafu fulani hivi. Sio kila kitu kinachoandikwa hapa ni serious kihivyo. Hata majina yetu wengi humu hatutumii ya kweli.
Oh well, whatever mtakavyonichukulia so be it. Today I'm very proud to be an American and America is the greatest country in the world, bar none!
Hapo poa NN. Unajua mkuu, umerudia rudia sana statement hizo kwenye huu 'msaafu'.... sasa sisi kama binadamu sometimes tunaanza kuamini kuwa maandishi yako ni moja ya 'holy scripts'... I think most of us are spending far too much time hapa bila kulazimishwa, hivyo pale mtu kama steved, NN, Mkjj, Rev, n.k... wanapotania, mtu unakuwa unajua kabisa kuwa they're just trying to pull a leg, na pale walipo serious au kuwa satirical, likewise, hints za hayo mtu unakuwa unazishitukia mapema kabisa... unakumbuka pale NN alipouawa kwa kupigwa risasi baada tu ya msiba wa Balali... pipo could easily tell apart the joking side from the really deal.
Basi ndivyo kama ninavyosema.... maneno yakijirudia rudia sana, i think si kosa kwa wengine kuamini hivyo. This being said, I sort of know where you stand bro, and appreciate your sincerity hapo juu, that much of the stuffs shouldn't be taken for holy scripts... Baadae mkulu, ngoja niendelee kuangalia Rais na Messiah wetu wa dunia 🙂
------------
Btw, will update you later about the stuffs...
Namuona Husein Obama kashuka kutoka Kenya. Hivi bibi yake pia kaja (yule wa Kenya)?
Mama Aretha Franklin naona anatesa. Sauti kweli umebahatika wewe mama wa soul.