passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
NonsenseNi sawa naitazama live. Kumbe mama ana kizungu kitamu hivi? Nnajua amesomea UK. Sio kama mtangulizi wake ambaye alikuwa analemewa na kizungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NonsenseNi sawa naitazama live. Kumbe mama ana kizungu kitamu hivi? Nnajua amesomea UK. Sio kama mtangulizi wake ambaye alikuwa analemewa na kizungu.

Mzee unakichwa kigumu mno, mstaafu kasema kabla hujafufua shirika jipya ilibidi uue lililopo ili kuua madeni ndio ufufue jipya, amemaanisha kabla hizi ndege mpya hazijanunuliwa ilibidi tuue shirika lililokuwepo
Hili kibao zamani nilikuwa nakisoma mara 4 tu kwa mwaka, haswa nikiwa nimepanda lupelo express nasepa skonga.Bon voyage Bi mkubwa
Acheni mambo ya kukariri. Hiyo ni sababu mojawapo siishabikii elimu ya kimagharibi. Hailengi kufanya anaiipata afunguke kifikra bali abanwe na fikra za aina fulani tu.Kwakuwa madeni yako pale pale basi pesa zilipwe tuanza afresh even at the cost of selling them planes. Pia wanasiasa hawapaswi kuwepo kwenye boards za wakurugenzi na wajumbe. HII NCHI BADO TUPO KWENYE FEUDAL STAGE HATA VIONGOZI WANAMAWAZO KAMA YA JUZI MAANA UONGOZI NI SOMETIMES CIRCUMSTANCIAL, ACCIDENTAL, PLANNED FOR GROUP FOR OWN BENEFITS SASA MZIKI VIONGO HAWA HULKA YA KUWA CONSISTENT marekebisho ya fanyike ila misimamo ya kidhibiti uzembe na rushwa iwe kwa vitendo hakuna huruma tunataka MATOKEO SIO STORY ila ndo ivo sasa eliewaloga sisiem kafa na tutapata tabu sana na vile raia wenyewe geugeu kila mtu na mambo yake Lissu kapigwa watu kimya badala hata ya haohao Wazalendo kujitokeza wengi na kuzingua ila uzalendo ni polisi kuingia na kutembeza kichapo, sidhani kama watu hujua nn maana ya uzalendo, uzalendo sio kupenda serikali au kuichukia, uzalendo sio kupenda raisi au kumchukia, uzalendo ni kusimamia misingi ya katiba na mwongozo wa sheria na haki za binadamu, usawa na uhuru wakuzungumza lolote na kwanza juu mpaka chini kuna uwajibikaji kwa nafasi yako ukizingua unazinguliwa
Watanzania wamefunguka. Anayetaka atavaa na asiyetaka kama mimi hatavaa.Sasa si nyinyi mnaamini corona haipo sasa nilitegemea msivae mask mahali popote muendapo. Lakini ni vizuri kuona mabidiliko yakifanyika polepole Tanzania. Hivi karibuni usishangae mkiambiwa nyote mvae mask.
Hatukuwaibia, tuliwanyang'anya. Uganda na Rwanda walijiunga nanyi kishingo upande kwa kuwa sie tulikuwa tumelazwa wakati ule. Tulipoamka wakaelekea mahali sahihi.Hamna shida. Kuleni tu mnofu mliotuibia.
Kichwa kigumu unacho wewe usiyejua kuwa hilo shirika lilijiua lenyewe kwa kutokutengeneza faida tangia kuanza kazi. Wamiliki wake walipoliuza walitoa sababu kuwa ni kwa kuwa limekuwa mzigo - kila mwaka hasara.Mzee unakichwa kigumu mno, mstaafu kasema kabla hujafufua shirika jipya ilibidi uue lililopo ili kuua madeni ndio ufufue jipya, amemaanisha kabla hizi ndege mpya hazijanunuliwa ilibidi tuue shirika lililokuwepo
Mkuu, asikubabaishe huyo. Hana ajualo. Fast Jet ilijiua yenyewe kwa kutokuwa na business model sahihi. Kuwa low cost carrier kwenye hizi nchi zetu siyo kitu rahisi. Bali ingekuwa ndiyo wanaanza sasa hivi wangetusua maana viwanja vingi vimeboreshwa hivyo wangeweza kuwa na destinations nyingi.Ndo ishatokea sasa. Kwa hiyo kama mwananchi wa kawaida unashauri nini kuhusu hilo shirika? Na je kauli ya ustadhi kua serikalini asilimia zaidi ya 60 ya wafanyakazi hawana sifa unakubaliana nalo? Na kama hiyo asilimia wakifutwa kama alivyoshauri huoni kutakua na tatizo? Je inshu ya vyeti fake huoni kama anaweza kua yeye ndo alimshauri jiwe kuwafuta kazi ili kuajiri wenye vyeti? Kumbuka alikua CAG kipindi icho. Ustadhi apunguze mizengwe bana
Im sure what is in your head is different from what uour beloved president has, i forsee our relations working well in future, si kila mtu ako bitter kama nyinyiKuna nchi imetuma delegation haiachi kulamba miguu ya Rais waTanzania!
Duuu! We ni kichwa kigumuKichwa kigumu unacho wewe usiyejua kuwa hilo shirika lilijiua lenyewe kwa kutokutengeneza faida tangia kuanza kazi. Wamiliki wake walipoliuza walitoa sababu kuwa ni kwa kuwa limekuwa mzigo - kila mwaka hasara.
Ungekuwa na kichwa kilaini ungetambua kuwa hilo shirika lako lilikuwa na size ya ndege isiyo sahihi kwa soko letu. Ndiyo sababu ATCL walipoanza na ndege zao mpya, hilo shirika lako likashtuka na kubadilisha size ya ndege zao ku-cope na Twiga, walikwishachelewa.
Umeelewa kichwa kigumu?
Umeandika pumba tupuNdo ishatokea sasa. Kwa hiyo kama mwananchi wa kawaida unashauri nini kuhusu hilo shirika? Na je kauli ya ustadhi kua serikalini asilimia zaidi ya 60 ya wafanyakazi hawana sifa unakubaliana nalo? Na kama hiyo asilimia wakifutwa kama alivyoshauri huoni kutakua na tatizo? Je inshu ya vyeti fake huoni kama anaweza kua yeye ndo alimshauri jiwe kuwafuta kazi ili kuajiri wenye vyeti? Kumbuka alikua CAG kipindi icho. Ustadhi apunguze mizengwe bana
Wewe ni mjinga kiasi gani? Hujamsikiliza Total CEO?FID imetiwa saini kweli?
Magufuli alisoma UK piaNi sawa naitazama live. Kumbe mama ana kizungu kitamu hivi? Nnajua amesomea UK. Sio kama mtangulizi wake ambaye alikuwa analemewa na kizungu.
Mbona kati ya hizo agreements tatu zilizotiwa saini hakuna hata moja inayoitwa FID. Sasa wewe ni engineer si basi utuambie kama hizo agreements tatu ndio FID. Maana mimi nilifikiri FID ni document moja kivyake inayoitwa FID inayotiwa saini ya mwisho kabla mradi kuanza.Wewe ni mjinga kiasi gani? Hujamsikiliza Total CEO?
United Kigoma?Magufuli alisoma UK pia
Kila kitu tayari! Subiri kandarasi itateuliwa! Msikilize CEO wa Total kaeleza vizuri!Mbona kati ya hizo agreements tatu zilizotiwa saini hakuna hata moja inayoitwa FID. Sasa wewe ni engineer si basi utuambie kama hizo agreements tatu ndio FID. Maana mimi nilifikiri FID ni document moja kivyake inayoitwa FID inayotiwa saini ya mwisho kabla mradi kuanza.