President Samia Suluhu Uganda's trip

Status
Not open for further replies.


SUN APR 11, 2021 / 7:34 AM EDT

Uganda, Tanzania, oil firms sign accords for building $3.5 billion pipeline​



(Reuters) - Uganda, Tanzania and oil firms Total and CNOOC on Sunday signed agreements that will kickstart the construction of a $3.5 billion crude pipeline to help ship crude from fields in western Uganda to international markets.

France's Total and China's CNOOC own Uganda's oil fields after Britain’s Tullow exited the country last year.

The signatories have now agreed to "to start investment in the construction of infrastructure that will produce and transport the crude oil", said Robert Kasande, permanent secretary at Uganda's ministry of energy.

 
Mzee unakichwa kigumu mno, mstaafu kasema kabla hujafufua shirika jipya ilibidi uue lililopo ili kuua madeni ndio ufufue jipya, amemaanisha kabla hizi ndege mpya hazijanunuliwa ilibidi tuue shirika lililokuwepo

Ndo ishatokea sasa. Kwa hiyo kama mwananchi wa kawaida unashauri nini kuhusu hilo shirika? Na je kauli ya ustadhi kua serikalini asilimia zaidi ya 60 ya wafanyakazi hawana sifa unakubaliana nalo? Na kama hiyo asilimia wakifutwa kama alivyoshauri huoni kutakua na tatizo? Je inshu ya vyeti fake huoni kama anaweza kua yeye ndo alimshauri jiwe kuwafuta kazi ili kuajiri wenye vyeti? Kumbuka alikua CAG kipindi icho. Ustadhi apunguze mizengwe bana
 
Acheni mambo ya kukariri. Hiyo ni sababu mojawapo siishabikii elimu ya kimagharibi. Hailengi kufanya anaiipata afunguke kifikra bali abanwe na fikra za aina fulani tu.

Ni ujinga kudhani kuwa mjumbe wa bodi fulani ni lazima awe mtaalamu wa eneo fulani. Kusomea kitu husika haikufanyi uwe msimamizi mzuri wa kitu husika.

Kinachohitajika ni utashi, wepesi wa kifunza na kuelewa, na dhamira ya kutumikia taifa. Ndiyo maana kuna mwendawazimu mmoja tunaambiwa CV yake ina kurasa 7. Aliaminiwa na marais wawili tofauti kuongoza sekta ya nishati na madini lakini angalia katika kipindi chake ni kwa kiasi gani tulifanya maamuzi ambayo ni kichaa tu anaweza kufanya.

Juzi hapo kaibuka anatushangaa kuwekeza kwenye umeme wa maji. Anadai turukie kwenye umeme wa kisasa ambao walioendelea tayari wameufikia.

Mfano mwingine ni uteuzi wa Prof. Luoga kuwa governor wa BoT. Chini yake ndiyo benki yetu kuu imetekeleza majukumu yake kwa uthabiti wa hali ya juu. Thamani ya shilingi na mfumuko wa bei vimekuwa imara kupita nyakati zote tangia uhuru.

Lakini mwanzo "wasomi" walidai ni makosa kuweka mwanasheria kuongoza benki kuu. Elimu yao inawafunga kudhani kuwa governor ni lazima awe "mchumi" by profession. Hata kama chini ya wachumi magwiji ndipo mfumuko wa bei ulifika mpaka 20.1%, tulipata EPA, majengo pacha na maujinga mengine mengi.

Acheni kukariri. Ndiyo sababu Col. Gadaffi aliandika haya kwenye kitabu chake "The Green Book".
 
Sasa si nyinyi mnaamini corona haipo sasa nilitegemea msivae mask mahali popote muendapo. Lakini ni vizuri kuona mabidiliko yakifanyika polepole Tanzania. Hivi karibuni usishangae mkiambiwa nyote mvae mask.
Watanzania wamefunguka. Anayetaka atavaa na asiyetaka kama mimi hatavaa.
 
Mzee unakichwa kigumu mno, mstaafu kasema kabla hujafufua shirika jipya ilibidi uue lililopo ili kuua madeni ndio ufufue jipya, amemaanisha kabla hizi ndege mpya hazijanunuliwa ilibidi tuue shirika lililokuwepo
Kichwa kigumu unacho wewe usiyejua kuwa hilo shirika lilijiua lenyewe kwa kutokutengeneza faida tangia kuanza kazi. Wamiliki wake walipoliuza walitoa sababu kuwa ni kwa kuwa limekuwa mzigo - kila mwaka hasara.

Ungekuwa na kichwa kilaini ungetambua kuwa hilo shirika lako lilikuwa na size ya ndege isiyo sahihi kwa soko letu. Ndiyo sababu ATCL walipoanza na ndege zao mpya, hilo shirika lako likashtuka na kubadilisha size ya ndege zao ku-cope na Twiga, walikwishachelewa.

Umeelewa kichwa kigumu?
 
Mkuu, asikubabaishe huyo. Hana ajualo. Fast Jet ilijiua yenyewe kwa kutokuwa na business model sahihi. Kuwa low cost carrier kwenye hizi nchi zetu siyo kitu rahisi. Bali ingekuwa ndiyo wanaanza sasa hivi wangetusua maana viwanja vingi vimeboreshwa hivyo wangeweza kuwa na destinations nyingi.
 
Kuna nchi imetuma delegation haiachi kulamba miguu ya Rais waTanzania!
Im sure what is in your head is different from what uour beloved president has, i forsee our relations working well in future, si kila mtu ako bitter kama nyinyi
 
Duuu! We ni kichwa kigumu
 
Umeandika pumba tupu
 
Wewe ni mjinga kiasi gani? Hujamsikiliza Total CEO?
Mbona kati ya hizo agreements tatu zilizotiwa saini hakuna hata moja inayoitwa FID. Sasa wewe ni engineer si basi utuambie kama hizo agreements tatu ndio FID. Maana mimi nilifikiri FID ni document moja kivyake inayoitwa FID inayotiwa saini ya mwisho kabla mradi kuanza.
 
Kila kitu tayari! Subiri kandarasi itateuliwa! Msikilize CEO wa Total kaeleza vizuri!
 

Tanzanian president arrives in Uganda for signing of key oil pipeline deal​

Source: Xinhua| 2021-04-11 17:32:03|Editor: huaxia


KAMPALA, April 11 (Xinhua) -- Tanzanian President Samia Hassan Suluhu on Sunday arrived here to witness the signing of a tripartite deal that will kick off the construction of a crude oil pipeline from Uganda to the Tanzanian seaport of Tanga.

Uganda's ministry of foreign affairs in a statement issued earlier said during Suluhu's visit, the Agreement for the East African Crude Oil Pipeline Tripartite Project will be concluded.

A number of Tanzanian ministers arrived in the country ahead of the scheduled signing of the agreement that will be witnessed by Ugandan President Yoweri Museveni and Suluhu.

Uganda last month suspended the signing of the agreement to mourn the death of then Tanzanian president John Pombe Magufuli.

The signing of the agreement is expected to pave way for the construction of the 1,440 km crude oil pipeline from Uganda's Albertine region to the Tanga.

The 3.55-billion-U.S.-dollar pipeline will be the longest electrically heated pipeline in the world. It is heated because of the waxy nature of Uganda's oil. Uganda has so far discovered over 6.5 billion barrels of oil.

Enditem

 

With key deals, Uganda's nascent oil sector nears maturity​

BY ASSOCIATED PRESS AP
PUBLISHED 8:54 AM ET APR. 11, 2021


KAMPALA, Uganda (AP) — Uganda, Tanzania and French oil company Total signed agreements Sunday on building a heated pipeline to carry crude oil from western Uganda to the Indian Ocean coast. Construction of the pipeline, which would be the world’s longest at 897 miles, is expected to begin this year.

Tanzania's new leader, President Samia Suluhu Hassan, was in Uganda to witness the signing of the documents, perhaps her most important executive action since her inauguration last month.

Ugandan authorities and officials from Total, a majority shareholder in Uganda's oil fields, also signed the agreements that had been long held up by tax disputes, administrative delays, and the death of Hassan's predecessor.

Suluhu described the event as “an auspicious occasion” that would unlock development of the region's oil resources.

The shareholder agreements cover the construction of the $3.5 billion pipeline designed to connect oil fields near Lake Albert to the Tanzanian seaport of Tanga.

Despite anxiety over falling crude prices in recent years, hopes have remained high in Uganda over the potential for oil exports to lift the East African country into upper middle-income status by 2040. Annual per capita income in Uganda was less than $800 in 2019.

A 2015 World Bank study emphasized that the economic benefits would be considerable if local companies are competitive enough to win lucrative service contracts in the oil sector.

Total and its investment partner in Uganda, the China National Offshore Oil Corporation, must honor commitments to award about 30% of the contracts to suppliers of Ugandan origin, said Robert Kasande, permanent secretary with Uganda's Ministry of Energy and Mineral Development.

“We believe that this should be a catalyst” for economic growth, he said.

Watchdog groups and others also have warned against the personalization of Uganda’s oil resources and heavy borrowing by national budget authorities anticipating oil revenue.

Ugandan President Yoweri Museveni, who has led Uganda since 1986, has sometimes suggested that the discovery of commercially viable quantities of oil in 2006 created an opportunity for him to remain in power. “They are targeting my oil,” he said of his challengers in the country's 2016 presidential election.

It remains unclear when Uganda will export its first drop of crude, since developing storage sites, processing facilities and other key infrastructure will take time. The agreements signed Sunday also also must be codified into legislation in both Uganda and Tanzania.

Patrick Pouyanne, the Total CEO and chairman, said the Ugandan investment will exceed $10 billion. While challenges remain, there's hope “to see the first oil tanker" by early 2025, he said.

Plans for the pipeline have recently been attacked as “irresponsible” by activists who say it isn't compatible with the goals of the Paris climate accord.

Critics also say the rights of local residents are at risk and that the pipeline, which would cross rivers and farmland, will damage fragile ecosystems. The project could cost more than 12,000 families their land rights, the Paris-based International Federation for Human Rights recently charged.

Facing calls to abandon its projects in Uganda, Total last month said it would limit oil extraction from a national park to less than 1% of the protected area. The company also said it would fund a 50% increase in the number of game rangers in Murchison Falls National Park, Uganda's largest protected area.

Total acknowledged “significant social and environmental stakes” posed by oil wells and the pipeline, and pledged to proceed responsibly.
But criticism of the pipeline project is likely to persist.

“Despite our persistent calls for urgent action from the Ugandan government, Total, and CNOOC, the oil project is accelerating while most of our concerns and recommendations remain unaddressed," Antoine Madelin, advocacy director of the International Federation for Human Rights, told The Associated Press. “Major environmental and human rights risks remain. The top priority should be to deal with the concerns of communities suffering from the project, not start drilling at all cost.”

Copyright 2021 The Associated Press. All rights reserved. This material may not be published, broadcast, rewritten or redistributed without permission.



 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…