President Trump has been Impeached after the House of Representatives voted in favour of charging him with abuse of power and obstruction of Congress

Asante kwa good observation, sasa turejee kujikita kwenye mada iliyopo mezani!.
P
 
Mkuu Kite Muganga, with due respect, naomba heshimu mada iliyopo mezani!, jikite kwenye mada!.
P


Abuse of power and Obstruction of Congress?

Wahi kazini Pascal wenzio sie tuliitwa watumishi hewa baada ya kutumikia miaka 30 na tukatupwa kama vibaka leo tumepaki majumbani kazi yetu ni kutoa povu kama la mpapai ambalo halitakatishi lakini tunaamini litatakatisha yaani ni kama vile tunasubiria msamaha kama wa wafungwa wa juzi angalau basi turudishiwe nguvu zetu za michango tuliyochangia NPF, NSSF,PPF etc
 
Pole sana ndugu yangu; je ulikuwa mtumishi hewa au ulikuwa na vyeti visivyotambulika? Nadhani watumishi hewa ni wale waliokuwa kwenye payroll, lakini hapatikana kwenye roll call. Kama ulikuwa kwenye roll call na bado wakakutema, tafuta mwanasheria mzuri akusaidie kupata haki yako kwani kesi hiyo ni rahisi sana. Ila kama ulikuwa kwenye kazi kwa kutumia cheki kisicho halali kesi yake ni ngumu kidogo, lakini bado ni vizuri kujaribu kuipeleka mbele ya vyombo vya sheria.
 
👍! Noted
 
Mabeberu wako busy zizini kwao msimu huu mpaka raahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wao jamaa wanajua kumalizana kidiplomasia zaidi tofauti na sisi ambao hua 2na amini zaidi katika kutumiliana maguvu yaso sababu zakimsingi wala nn katika mambo ambayo hata yawezekana kwakumalizana 2 kwa maongezi


Nb:sisemi kama hio system haifai kufuatwa ndani ya bara letu adhwimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wasiomtaka wakishinda jamaa anaondoka kabla ya term yake kuisha?
yeah ni kweli kwenye sennet ikipatikana hiyo 67% inayomuona ana makosa anayoshtakiwa nayo anaondoka kabla ya muda wake kwisha, makamu wake atakuwa prizidaa mpaka uchaguzi utakapofanyika. lakini hiyo ni ngumu sana sidhani kama Republican watakubaliana na hilo ndio wengi kwenye sennet. hata hivyo Trump naye humohumo Republican wengi wanapingana na baadhi ya mambo yake.Unakumbuka ya Bill Clinton.?!?
 
Wenzetu wanajenga hoja hawatumii nguvu nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Diplomasia watu wanashindana kwa hoja na logic

Ukizidiwa hoja usipige mtu kajipange

Hapa kwetu can you even question that guy?.
Ni funzo kwenye 'good governance'
 
Nimeamini hii issue iko kivyama zaidi, si unaona wewe pro dems unavyowayawaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…