President Trump has been Impeached after the House of Representatives voted in favour of charging him with abuse of power and obstruction of Congress

President Trump has been Impeached after the House of Representatives voted in favour of charging him with abuse of power and obstruction of Congress

Kichuguu
Samahani Mkuu, hili suala LA impeachment naliona lakini sijapata muda was kulifuatilia kwa undani. Naomba kama unafahafu ueleze kwa undani na kwa lugha rahisi makosa ya Trump no yapi hasa?
 
Ngoja tusubilie senate kama watamchomoa ofisini........
1. Wakimchmoa itakuwa muujiza! Two third votes kumpinga so rahisi kufikiwa.
2. In any way, mission ya Democtratics imefanikiwa: kupunguza spidi ya Trump mwakani, kutahadharisha raia na mamlaka mbalimbali juu ya tahadhari na hatari ktk uchaguzi ujao.
3. Uchaguzi wa mwakani ni mgumu. Rep. watakuwa wanawaza kwa kina namna ya kumvisha 'the tweet master'
 
Nchi za kiafrica hii ni ndoto tena ya mchana, eti umshitaki Rais aliyeko madarakani - THUBUTU. ..Anachosema, anachofanya Rais wa Nchi za Kiafrica kimebarikiwa mbinguni na duniani.

Katiba zetu zinawalinda mno hawa jamaa ndiyo maana wanatamba na kuji-mwambafy watakavyo.
 
1. Wakimchmoa itakuwa muujiza! Two third votes kumpinga so rahisi kufikiwa.
2. In any way, mission ya Democtratics imefanikiwa: kupunguza spidi ya Trump mwakani, kutahadharisha raia na mamlaka mbalimbali juu ya tahadhari na hatari ktk uchaguzi ujao.
3. Uchaguzi wa mwakani ni mgumu. Rep. watakuwa wanawaza kwa kina namna ya kumvisha 'the tweet master'
Uchaguzi utakuwa mgumu sana
 
Trump was impeached by the house it doesn't mean he's been removed from office.It means it goes to the Senate which is Republican owned,which will be shot down in January.Trump will be reelected in december and serve another four years!
 
Nmekuelewa vyema sana mkuu, kama hutojali tufungue tusiofahamu kwa Clinton ilikuaje
yeah ni kweli kwenye sennet ikipatikana hiyo 67% inayomuona ana makosa anayoshtakiwa nayo anaondoka kabla ya muda wake kwisha, makamu wake atakuwa prizidaa mpaka uchaguzi utakapofanyika. lakini hiyo ni ngumu sana sidhani kama Republican watakubaliana na hilo ndio wengi kwenye sennet. hata hivyo Trump naye humohumo Republican wengi wanapingana na baadhi ya mambo yake.Unakumbuka ya Bill Clinton.?!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom