Kwa nini?Nafatilia hapa, leo nimeamini Mabeberu wengi akili zimefyatuka
"No one is above the law even a president" inaleta taswira ya giza barani Africa, ila fresh sisi sijui tuna nnSanaaaa hoja na professionalism imetawala
Na haki
Among others;Nancy be like 'No one is above the law' which is a fact
Kwamba ww ndo uniite mm nyani ?? Ita tu ukimaliza endelea na mambo yakoNyie mkiitwa nyani mnapiga kelele huu ni unafiki sana.
Nakukumbusha tu tuache maneno ya kibaguzi na chuki zisizokuwa faida maana haitusaidia kuondokana na umaskini tulionao.Kwamba ww ndo uniite mm nyani ?? Ita tu ukimaliza endelea na mambo yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nikuulize swali,huoni kuna utofauti kabla na baada ya huyo jamaa kuwa impeached. Issue siyo kumtoa au kumbakiza madarakani,at least wamefanya kitu katika demokrasia na utawala wa sheria.Trump ataendelea kuwa Rais kwa miaka sita ijayo
Pole
"Miaka sita ijayo" kwa misingi gani?Trump ataendelea kuwa Rais kwa miaka sita ijayo
Pole
Walewaree !ee! ni tusi juu ya tusi! ''unona sasa very silly?''
Tatizo lenu mmkikaa nyuma ya keyboard mnaandika chochote bila hata kutafakari.1. Wakimchmoa itakuwa muujiza! Two third votes kumpinga so rahisi kufikiwa.
2. In any way, mission ya Democtratics imefanikiwa: kupunguza spidi ya Trump mwakani, kutahadharisha raia na mamlaka mbalimbali juu ya tahadhari na hatari ktk uchaguzi ujao.
3. Uchaguzi wa mwakani ni mgumu. Rep. watakuwa wanawaza kwa kina namna ya kumvisha 'the tweet master'
Impeachment siyo justice process ile ni political process na lengo lake ni kumwonesha Trump kuwa wanaweza kumpiga break akizidisha u much know wake. Tayari hiyo process imechafua legacy ya Trump kitu ambacho kinamsikitisha na kwa wenzetu hicho ni muhimu sana kuliko kitu chochoteTrump ataendelea kuwa Rais kwa miaka sita ijayo
Pole
Pale ambapo mtu from Bongoland anapohisi anajua kuzidi democrats wote.Tatizo lenu mmkikaa nyuma ya keyboard mnaandika chochote bila hata kutafakari.
Kwa taarifa yako mkuu,Trump ndo anawachezesha democratic hii ngoma na wao wameingia mkenge kuicheza. Wa-democratic kwa miaka yote 4 wamebaki kuhangaika na sinema anazowachezea wakiamini wanaweza kumuondoa..wakati huo yeye anapiga kazi za kutekeleza ahadi zake.
Uchaguzi ujao Trump anashinda asubuhi tu. Tayari baadhi ya wajumbe wa baraza la seneti wameshasema wanaenda kumfutia mashitaka na litakuwa pigo kubwa kwa democratic. Trump ana akili nyingi sana tofauti na muonekano wake.
Haya matukio ameyatengeneza makusudi kabisaa ili wapinzani wake wabaki kushughulikia kesi ambayo hawawezi kushinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani tukumbuke pia historia. Mwalimu Nyerere alijenga kwao na kuna hotuba anasisitiza kuwa wajumbe wa Halmashauri ya TANU mwaka 1973 walimwambia hiyo nyumba yake ilikuwa ndogo, itabidi chama kimjengee nyumba kubwa. Yeye akasema nimekuwa TEMBO wakati watoto wangu wote nimewazalia humu! Baadaye akajengewa nyumba pale Mwitongo kilimani. Baada ya kustaafu JWTZ walimpa zawadi ya kujengewa nyumba nyingine ambayo aliishi muda mfupi kabla ya kupatwa na kifo.Trump unamjua au unamsikia?, ni Tanzania tuu ndio mtu akiwa rais ndio anajenga kwao!, masikini Nyerere hadi anaacha urais hakujenga kwao akafanya kujengewa na JKT!.
Trump ni tajiri mkubwa, kujenga kwao in nothing, I wish rais Magufuli awe tajiri kama Trump na ndio maana mimi na support maendeleo ya Chato, charity begins at home
PNaunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!
Wanabodi, Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa Bukoba, eneo la Omukajunguti na badala yake sasa uwanja huo unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi naunga mkono ujenzi...www.jamiiforums.com
Busara ni kil kituNakukumbusha tu tuache maneno ya kibaguzi na chuki zisizokuwa faida maana haitusaidia kuondokana na umaskini tulionao.
Rais wa Marekani Donald Trump amevuliwa urais
Anakuwa ni Rais wa tatu wa Marekani kuvuliwa madarakani
Bunge la wawakilishi limepiga kura 230 za kumuondoa huku 179 zikipinga
Trump alikuwa akituhumiwa kwa matumizi mabaya ya Ofisi
Sent using Jamii Forums mobile app