President Trump has been Impeached after the House of Representatives voted in favour of charging him with abuse of power and obstruction of Congress

President Trump has been Impeached after the House of Representatives voted in favour of charging him with abuse of power and obstruction of Congress

Trump ataendelea kuwa Rais kwa miaka sita ijayo
Pole
Mkuu nikuulize swali,huoni kuna utofauti kabla na baada ya huyo jamaa kuwa impeached. Issue siyo kumtoa au kumbakiza madarakani,at least wamefanya kitu katika demokrasia na utawala wa sheria.
 
1. Wakimchmoa itakuwa muujiza! Two third votes kumpinga so rahisi kufikiwa.
2. In any way, mission ya Democtratics imefanikiwa: kupunguza spidi ya Trump mwakani, kutahadharisha raia na mamlaka mbalimbali juu ya tahadhari na hatari ktk uchaguzi ujao.
3. Uchaguzi wa mwakani ni mgumu. Rep. watakuwa wanawaza kwa kina namna ya kumvisha 'the tweet master'
Tatizo lenu mmkikaa nyuma ya keyboard mnaandika chochote bila hata kutafakari.

Kwa taarifa yako mkuu,Trump ndo anawachezesha democratic hii ngoma na wao wameingia mkenge kuicheza. Wa-democratic kwa miaka yote 4 wamebaki kuhangaika na sinema anazowachezea wakiamini wanaweza kumuondoa..wakati huo yeye anapiga kazi za kutekeleza ahadi zake.

Uchaguzi ujao Trump anashinda asubuhi tu. Tayari baadhi ya wajumbe wa baraza la seneti wameshasema wanaenda kumfutia mashitaka na litakuwa pigo kubwa kwa democratic. Trump ana akili nyingi sana tofauti na muonekano wake.

Haya matukio ameyatengeneza makusudi kabisaa ili wapinzani wake wabaki kushughulikia kesi ambayo hawawezi kushinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump ataendelea kuwa Rais kwa miaka sita ijayo
Pole
Impeachment siyo justice process ile ni political process na lengo lake ni kumwonesha Trump kuwa wanaweza kumpiga break akizidisha u much know wake. Tayari hiyo process imechafua legacy ya Trump kitu ambacho kinamsikitisha na kwa wenzetu hicho ni muhimu sana kuliko kitu chochote
 
Tatizo lenu mmkikaa nyuma ya keyboard mnaandika chochote bila hata kutafakari.

Kwa taarifa yako mkuu,Trump ndo anawachezesha democratic hii ngoma na wao wameingia mkenge kuicheza. Wa-democratic kwa miaka yote 4 wamebaki kuhangaika na sinema anazowachezea wakiamini wanaweza kumuondoa..wakati huo yeye anapiga kazi za kutekeleza ahadi zake.

Uchaguzi ujao Trump anashinda asubuhi tu. Tayari baadhi ya wajumbe wa baraza la seneti wameshasema wanaenda kumfutia mashitaka na litakuwa pigo kubwa kwa democratic. Trump ana akili nyingi sana tofauti na muonekano wake.

Haya matukio ameyatengeneza makusudi kabisaa ili wapinzani wake wabaki kushughulikia kesi ambayo hawawezi kushinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale ambapo mtu from Bongoland anapohisi anajua kuzidi democrats wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump unamjua au unamsikia?, ni Tanzania tuu ndio mtu akiwa rais ndio anajenga kwao!, masikini Nyerere hadi anaacha urais hakujenga kwao akafanya kujengewa na JKT!.

Trump ni tajiri mkubwa, kujenga kwao in nothing, I wish rais Magufuli awe tajiri kama Trump na ndio maana mimi na support maendeleo ya Chato, charity begins at home
P
Jamani tukumbuke pia historia. Mwalimu Nyerere alijenga kwao na kuna hotuba anasisitiza kuwa wajumbe wa Halmashauri ya TANU mwaka 1973 walimwambia hiyo nyumba yake ilikuwa ndogo, itabidi chama kimjengee nyumba kubwa. Yeye akasema nimekuwa TEMBO wakati watoto wangu wote nimewazalia humu! Baadaye akajengewa nyumba pale Mwitongo kilimani. Baada ya kustaafu JWTZ walimpa zawadi ya kujengewa nyumba nyingine ambayo aliishi muda mfupi kabla ya kupatwa na kifo.
 
Rais wa Marekani Donald Trump amevuliwa urais

Anakuwa ni Rais wa tatu wa Marekani kuvuliwa madarakani

Bunge la wawakilishi limepiga kura 230 za kumuondoa huku 179 zikipinga

Trump alikuwa akituhumiwa kwa matumizi mabaya ya Ofisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu yako ata wewe..[emoji41]atakua Trump wa chato ndo kavuliwa .





Ndo kwanza ligi ina anza relax
Rais wa Marekani Donald Trump amevuliwa urais

Anakuwa ni Rais wa tatu wa Marekani kuvuliwa madarakani

Bunge la wawakilishi limepiga kura 230 za kumuondoa huku 179 zikipinga

Trump alikuwa akituhumiwa kwa matumizi mabaya ya Ofisi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni kwamba ataendelea kuwepo kwa office. Vigumu kupata two third kumuondoa kwa office.
Atawapeleka mchakamchaka na vijembe vyake vya Twitter
2020 yupo
Politics za USA buana ni mzunguko kama ngoma ya mduara au singeli vile
 
Democrats wanahitaji watu 67 kushinda Senate Trial. Wao wako 45, Independents wako 2 Republicans 53. Hivyo wanahitaji jumla ya Republicans 20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Ajira milioni 4 mpya kwa miaka yake mitatu kama raisi

-Wamarekani wengi wanafanya kazi sasa kuliko kipindi chocho

- stock market ipo juu kuliko kipindi chochote

-last quarter uchumi ulipanda kwa asilimia 4.2

-Jeshi kutengewa bajeti limekuwa imara katika kipindi chochote na bajeti ya jeshi imevunja rekodi ambapo taktribani trilioni elfu moja na mia sita (quadtrilion 1.6)

-Ukosefu wa ajira umeshuka kuliko kipindi chochote kwa Wamarekani weusi

-Ukosefu wa ajira umeshuka kuliko kipindi chochote kwa Wamarekani wenye asili ya spanish

-Ukosefu wa ajira umeshuka kuliko kipindi chochote kwa Wamarekani wa asia

-Ukosefu wa ajira umeshuka kuliko kipindi chochote cha miaka 65 kwa wanawake

-Ukosefu wa ajira umeshuka kuliko kipindi chochote kwa wamarekani wasio na elimu ya juu

-Wamarekani milioni 4 wameacha kupokea misaada ya bure ya chakula kutoka serikalini kwa sababu ya kupata ajira

-Makato madogo ya ushuru katika historia ya marekani yaliyochochea marekani kuingiza zaidi ya trilioni 600 katika miezi minne pekee iliyoppita,

-Marekani analipa hela kwa usawa katika umoja wa nato, zamani marekani
alikuwa analipa sana kuliko wanachama wengine, Trumo kakazia sana hapa na hatimae kila mwanachama analipia trilioni 140 zaidi ya kiasi alichokuwa akilipa

- Ni kipindi ambacho trump kaongeza majaji wengi sana kusimamia haki

-kipato cha familia za kati kimepanda kuliko kipindi chochote

- wachina wanaisoma namba na wameshika adabu yao, kuna kipindi waleileta ngebe trump akaamrisha android na software za google zisitumike na huawei, Wachina wanaitajirisha marekani kwa sasa maana wanalipa tarrifs nyingi kwa marekani kuliko marekani anazowalipa.

- N.K, N.K, N.K, N.K


HUYU MZEE NI SUMU KWA DEMOCRATS MAANA VITU ANAVYOFANYA VINAFANYA DEMOCRATS WAONEKATE VITUKO,

Impeachment ndio imekwisha jana na trump hatolewi kwa sababu kesi inaenda kwenye senate ambako chama chake kina wawakilishi asilimia 53, Trump atatolewa tu endapo asilimia 67 ya wanachama wa senate wataamua atolewe kitu ambacho hakitawezekana 🙂 🙂.

Democrats wamegeuka kuwa chama cha manyangau, ndio hawa hawa walioanzisha kesi ya kumsingizia trump alishinda kwa msaada wa warusi na wakaangukia pua, wakaendnele tena kudai trump anafanya obstruction kwenye hii kesi ya urusi wakaangukia tena pua, Yote hii kwasababu tu wanachukia trump alivoshinda 2016.

Hoja za democrats za kumuimpeach trump ni dhaifu sana, wanapiga kelele tu bila ushahidi uliokamilika, Kulikuwa hakuna pressure wala binamu yake coersion wala kaka yake quid pro quo kwenye mazungumzo kati ya trump na raisi wa ukraine na ndio sababu wanachama wa democrats watatu waliungana na republicans kupinga vikali hii ishu.

Ishu imekaa sana kisiasa kuliko uhalisia- ni njama tu za kujaribu kushusha spidi ya radi ya trump kwenye kuvunja rekodi za kiuchumi katika historia ya marekani, Mzee alikuwa mfanyabiashara lakini kaweza kufanya maajabu makubwa sana akiwa hana uzoefu wa siasa.
 
Back
Top Bottom