Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Unahisi kule hua wanapelekwa bila sababu na ndio hua kuna takiwa ushahidi kamili
Jamaa anawexa akapita sababu kuna baraza moja anaongoza kwa majority ya wanachama wake
Ila kimsingi jamaa anamakosa hata kama sio yote ila ni MINGI tu Miongoni mwa Aliyohusishwa Nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Anavyosema hata kama wakimu impich atakua anaonewa ana maana gani ama ndio anatafta huruma za raia[emoji16]Brother! Humu ndani watu wanakupinga bure tu Ila upo sahihi! Na kilichotokea jana Dems wamepata aibu sana! Dems wamemzushia Trump mazingaombwe kibao wakiambiwa walete ushahidi wanaleta ushahidi wakupikwa ambao mwisho wa siku wanafeli.
Ndiyo maana jana Trump kawaambia hata kama wakimu' impeach atakuwa ni rais wa kwanza kufanyiwa impeachment pasipo kuwa na crime ya aina yoyote.