President Uhuru Kenyatta in military uniform - PHOTOS

Anajiandaa kuingia kijeshi TZ kunyang'anya KILI.
 
Watu wengine bwana,,sasa si katiba ndiyo inamfanya awe mwanajeshi hata kama hajapitia jeshi,ukishasema amiri jeshi mkuu tayari ushampa uanajeshi.
Mtu kule juu anasema hajawahi enda jeshini hivyo hawezi pigana vita,bado watu wanafikra kuwa bila kwenda jeshini huwezi pigana vita.
Maraisi wanapewa mazoezi na watu maalum kuliko hata ya huko jeshini.
Raisi lazima ajifunze kutumia silaha na namna ya kuji-evacuate himself kutoka kwenye hatari yeyote,majini,nchi kavu na angani.
 

Kupewa mafunzo ni kitu kimoja, kushika, kufuata na kufanyia mazoezi ujuzi huo kwa kuzingatia miiko ni suala jingine kabisa!!!!

Putin Vladimir huyu sawa kwa uliyoyasema
 
Duh, lakini hapo al shabaab wakimshtukizia jamaa atavua hayo magwanda na kukimbia. Hizo simu alizozishika atazitupa na hata huo mkongojo atausahau. Mbwembwe tupu!

Baadhi ya mawazo ni ya fikra za chini na kejeli zisizo na maana. Mtu yeyote anaweza pigana vita isipokuwa hutafuata utaratibu. Waasi wengi hupigana bila kupitia jeshini. Mafunzo ni saikolojia ya vitendo na ndo maana marais wanapiganisha vita bila kuhitaji kupitia jeshini, kwani wamezungukwa na wataalam wa vita. Kitendo cha kumkebehi rais ni ujinga na tamaa mbaya ya kutaka kuvaa wewe ambayo haitakuja kutokea duniani labda uingie ikulu. Kenyatta amefanya kitendo sahihi, sehemu sahihi na muda sahihi. Angeenda na hizo nguo kwenye kikao cha siasa hapo tungepata taabu. Tuwe na comment positive ktk maeneo sahihi.
 
Hiyo wrist band inaeleza mengi sana!!!!
Jamaa anaipenda nchi yake

halafu hiyo kitu ameanza kuivaa tangu enzi zile akiwa waziri wa fedha.hakika kwa uzalendo wa nchi,UK ni mzalendo kweli.namkubari ktk hilo.
 

Raisi = Rais
 
wakenya wanatia huruma sana. huyu ndiye rais pekee east africa ambaye sio mjeda. ikitokea vita hapo mtamkuta uvunguni mwa kitanda.
Alokwambia Rais huwa anaenda vitani nani
 
Upuuzi mtupu!
 
Kupewa mafunzo ni kitu kimoja, kushika, kufuata na kufanyia mazoezi ujuzi huo kwa kuzingatia miiko ni suala jingine kabisa!!!!

Putin Vladimir huyu sawa kwa uliyoyasema

Inapokuja emergence ndio utajua bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…