MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
huyu sio intelligent, ni limbukeni tu anapelekwapelekwa na m7 na pk. rais intelligent africa mashariki kama asingekuwa muuaji, ni paul kagame, uhuru nafikiri atashika mkia. wakenya walifanya kosa kubwa sana kutomchagua raila odinga, huyu ndiye alikuwa rais bora kabisa east africa yote.wakachagua uhuru kiongozi wa mungiki.
Kuna tofauti kubwa kati ya umaarufu na utenda kazi. Kwa yote alofanya Uhuru, ule mradi wa Galana-Kulabu Irrigation umefanya nimkubali sana. Yaani ataziba tatizo la njaa Kenya kwa kuhusisha ekari milioni kwenye ukulima wa irrigation.
Halafu reli ya SGR anaikimbisha sana, itatuwezesha kuwafikishia Warwanda na Wasudan Kusini mizigo kwa siku moja.
Jamaa ana nguvu za kiajabu.