President William Ruto Signs Finance Bill 2026 Into Law as 187 MPs Miss Crucial Vote

President William Ruto Signs Finance Bill 2026 Into Law as 187 MPs Miss Crucial Vote

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
President William Ruto ametia saini Finance Bill 2026 na kuifanya kuwa sheria rasmi, hatua inayofungua njia ya utekelezaji wa mpango wa serikali wa fedha kwa mwaka wa 2026/27.

Rais alisaini mswada huo leo katika hafla iliyofanyika State House, Nairobi, baada ya kupitishwa na Bunge la Kitaifa mnamo Juni 18 wakati wa Third Reading.

Hata hivyo, kilichovutia wengi ni kwamba ni wabunge 162 pekee kati ya 349 waliojitokeza kushiriki kura ya mwisho. Wabunge 186 hawakuhudhuria kikao hicho muhimu kabisa.

Kati ya kura zilizounga mkono mswada huo, 122 zilikuwa za "Yes" huku 40 zikiwa za "No". Serikali imeendelea kusisitiza kuwa Finance Bill 2026 haijaongeza ushuru mpya kwa wananchi na imekuwa ikiwashutumu viongozi wa upinzani kwa kusambaza taarifa zinazodaiwa kuwa za kupotosha kuhusu mswada huo.
Low turnout ya wabunge imezua maswali kutoka kwa wananchi, wengi wakijiuliza kwa nini idadi kubwa ya viongozi waliochaguliwa hawakushiriki katika uamuzi muhimu unaogusa uchumi wa nchi na maisha ya kawaida ya Wakenya.

Source: Kenyans.co.ke
 
Back
Top Bottom