PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

....Tuna Usomaji wa Vitabu wa kutuwezesja kununua Kitabu kilichoandikwa kwa Lugha ya Kiingereza kuhusu raising wetu kwa Shilingi 60,000/=??
Tanzania Yetu hii hii??[emoji848][emoji848]
Mbona mimi kama mwanamke ninasoma sana vitabu? Wewe baba mtu mzima unashindwaje?
 

Rais ndo kwanza kaanza kazi unaanza kuzungumza juu ya kustaafu!!! Ikifika 2034 uanze topics zako hizo, kwa sasa ndo kazi imeanza. Rais wa Russia Putin na wa Germany Merkel wameongezewa muda na ni wazungu na pia nchi za first world kwanini sisi tusiongeze muda? Third world country!
 
Ninampenda saaaana JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…