Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #101
Kwa kosa gani mkuu?Atakuwa jela anatumikia kifungo Cha kudumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kosa gani mkuu?Atakuwa jela anatumikia kifungo Cha kudumu
Labda anamaanisha yule HalimaBinti gani?
Zitto anapenda sana mademuMkuu, alafu inasemekana Zitto alikuwa ana uhusiano na binti wa mzee Bulembo?
Huyo dogo ni m.p.u.u.z.i tu anamchukia JPM bureKwa kosa gani mkuu?
NonsenseAtakuwa jela anatumikia kifungo Cha kudumu
Acha ushamba dogoEti baada y kustaafu...kasemanani!!??
Mbona mimi kama mwanamke ninasoma sana vitabu? Wewe baba mtu mzima unashindwaje?....Tuna Usomaji wa Vitabu wa kutuwezesja kununua Kitabu kilichoandikwa kwa Lugha ya Kiingereza kuhusu raising wetu kwa Shilingi 60,000/=??
Tanzania Yetu hii hii??[emoji848][emoji848]
Kuna baadhi ya watanzania ni wanafiki sana[emoji848][emoji848][emoji848] Hivi kweli hamna alichofanya?!! Any way nina Imani akiondoka mtampa sifa zake Kama mnavyofanya kwa JK.
mhhhMkuu acha kumnanga Baba yetu.
Mhhhendi ze pipo chuzi me to lidi like saddam huseni ze prezidenti of kuwait[emoji23]
Njaa kali kama mzee Halima Mdee?Yule ni mganga njaa tu kama Lissu na Mnyika
Zitto alafu anaweza hata kuwa mkongo man yuleZitto sidhani kama ni mwanasiasa bora yule jamaa
Vp mzee Lipumba?Swagger za ZKK za kishamba tu
Hi,Chiku is a person who was born night time, is it true?mhhh
Habari zenu JamiiForums.
Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza Kisukuma kule!, wakasema sijui Kiingereza, niliamua kuzungumza Kiswahili na kuki-promote kwasababu ni lugha iliyoachwa na Baba wa Taifa"
View attachment 1697021
Picha hapo juu ni Mh. Rais Dk. JP Magufuli akiwa na Waziri wa mashauri ya kigeni Prof. Kabudi wakikabidhi vitabu vya kiswahili kwa Rais wa Jamuhuri ya Afrika ya Kusini Mh. Ramaphosa katika harakati ya kuhakikisha lugha hii tamu inakuwa na kuenea kwa haraka zaidi nje ya mipaka ya Tanzania na Afrika ya Mashariki.
Kitabu cha Kiingereza cha Mzee Mkapa: My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers
Mheshimiwa, hayati Benjamin William Mkapa ndiye aliyekuwa rais wa tatu wa Tanzania, aliyechaguliwa chini ya mfumo wa kwanza wa vyama vingi hapa nchini. Kitabu chake kinafafanua kumbukumbu zake kutokea utotoni, wakati bado akiwa rais, na kuendelea kwake kujihusisha (hata baada ya kustaafu) kwenye masuala ya kimataifa yahusuyo maendeleo na upatanishi wa amani.
Kitabu hiki kinavutia sana kwa wasomaji wanaopenda kujua kuhusiana na, kadhia aliyoipitia mwafrika katika kipindi cha ukoloni hususan eneo zima la Afrika Mashariki na mapambano ya uhuru na harakati za ukombozi wa nchi kadhaa za kusini mwa Afrika.
Mheshimiwa Mkapa ameandika pia kuhusu utoto wake, kukomaa kwake kisiasa, mabadiliko ya kimfumo/kiutawala na kisiasa nchini Tanzania, na vile vile machafuko ya kisiasa katika nchi jirani.
Kitabu hiki kimejaa maoni yake juu ya uongozi na ushauri kwa viongozi wanaochipukia kama dada yangu mama D. Baada ya Mwalimu Julius Nyerere, ni vitabu vichache sana vimeandikwa na viongozi wakuu wa Tanzania juu ya mageuzi ya nchi; kwa kweli bila kuwa mnafiki vitabu vingi vinavyosomwa hapa nchini vimeandikwa na wageni kuliko watanzania, kwa hivyo kitabu cha Mh. Mkapa ni mfano bora wa kuigwa.
I Can, I Must, I Will written by Dr. Reginald Mengi
=====
View attachment 1698020
OMBI LANGU: Itapendeza sana kama Rais Magufuli ataandika kitabu cha maisha yake kwa kutumia lugha ya wazalendo ya KISWAHILI.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ninampenda saaaana JPMRais ndo kwanza kaanza kazi unaanza kuzungumza juu ya kustaafu!!! Ikifika 2034 uanze topics zako hizo, kwa sasa ndo kazi imeanza. Rais wa Russia Putin na wa Germany Merkel wameongezewa muda na ni wazungu na pia nchi za first world kwanini sisi tusiongeze muda? Third world country!
Anaitafuta jela huyooWee jamaa alafu punguza dharau kwa mkuu wako wa nchi.
Kongo, Rwanda na Burundi pia wanajua vema kiswahili mkuuUsiposoma wewe watasoma watanzania wengine na nchi za Afrika zinazojali Kiswahili
Hao vijana wa ufipa akili zao zote zipo kwa mnyikaSoja, hapo BAVICHA ni vichaa kama jina lao
Vichaa hao achana nao mkuuMtu gani apigwe risasi?