PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

Chadema wame relax wanaangalia how stupid y'all are...

Korona ipo,korona haipo...watu hawafi,watu wanakufa...hatutaki chanjo,tunataka chanjo...vaa barakoa,usivae barakoa....blah blah blah..

Unaona kabisa the whole government are clinically mental cases!
Viongozi wa pale mtaa wa Ufipa ndio mental cases woooote kwa maana mwenyekiti wao hataki kutoka mwaka wa 20 sasa
 
Bora aandike kwa lugha yake pendwa ya Kisukuma. Sisi wengine hatutakinunua maana tunamjua hapendi kukosolewa, so hawezi kujikosoa kama Marehemu Mkapa alivyojikosoa kwenye kitabu chake, yeye huwa anapatia huwa hakosei hata pale anapokosea wazi wazi, na pia si mkweli wakati mwingine (Refer ahadi alizowahi kutoa na hakuzitimiza).
Sasa unafikiri ataandika kwa Kiingereza cha kutoka wapi, hiki cha Chato kibovu hiki? Angetamani sana lkn hawezi, labda aige mtu risasi ndo anaweza kujaribujaribu
 
CHADEMA ndio inapiga watu risasi kwa kung'ang'ania uenyekiti
 
Chadema wame relax wanaangalia how stupid y'all are...

Korona ipo,korona haipo...watu hawafi,watu wanakufa...hatutaki chanjo,tunataka chanjo...vaa barakoa,usivae barakoa....blah blah blah..

Unaona kabisa the whole government are clinically mental cases!
Kwanini wee jamaa unapenda sana kupingana na serikali kwa kila jambo? Unajipenda kweli wee mchagga?
 
Back
Top Bottom