Press conference h.e.s.l.b

habari wana jf..... leo
bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeitisha mkutano na waandishi wa habari
kwa taarifa zaidi usikose kufuatilia habari ya saa mbili usiku:source
mdimu's blog
Nawasilisha

kuna mdau kaniambia kaiona ch.5!
 

uko sahihi mana hata mimi nimeona nkashangaa kabisa hawa tbc
 
Vp híí wanafunz 300
kukosa mikopo elimu za juu..Nimeiskia kwenye magazeti leo..
Mwenye info kamili atujuze hapa tafadhali..
 
Mchakato wa kupanga mkopo utakamilika kwa asilimia 100 wiki tatu zijazo.
source
Gazeti la HABARI LEO tarehe 23september
 
Mchakato wa kupanga mkopo utakamilika kwa asilimia 100 wiki tatu zijazo.
source
Gazeti la HABARI LEO tarehe 23september

Kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa hao wanafunz 300 ni wale waliokosea kuomba mkopo ikiwepo na pamoja kutowasilisha picha au kuweka sahihi na baada ya kuambiwa wakarekebishe pia walichelewa kwenda kurekebisha hope umenipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…