Tetesi: Press Conference ya Chadema haitakuwa "LIVE"

Tetesi: Press Conference ya Chadema haitakuwa "LIVE"

CHADEMA wakosa fedha za kurusha Live Mkutano wao na Waandishi wa Habari.

CHADEMA walitoa taarifa kuwa wangerusha moja kwa moja mkutano wao na waandishi wa Habari ambao ulipangwa kufanyika leo kuanzia saa tano Asubuhi. Taarifa zinasema kuwa chama hicho kilialika vyombo vya Habari vya Azam, ITV, Channel Ten na Radio kadhaa kurusha hewani mkutano huo.

Hata hivyo, mpaka leo saa mbili Asubuhi, CHADEMA wamekosa fedha za kurusha hewani Mkutano huo. Inaelezwa kuwa Freeman Mbowe amesema kuwa chama hakina fedha kwa vile walitumia fedha nyingi kugharamia Mkutano wa Kamati kuu kutokana na kuongezeka kwa siku za mkutano huo kutoka siku mbili zilizopangwa awali hadi siku nne. Naye kiongozi wa heshima wa CHADEMA, Edward Lowasa alipofuatwa kuokoa jahazi alijinu kuwa imekuwa ninghafla mno na kwamba wangemwambia mapema, angewasiliana na maswahiba wake wangemsaidia.

Ka hali hiyo, Mkutano huo umeshindikana kuwa Live na sasa rusubiri recorded au clips zilizoeditiwa.
Mpuuzi mwingine huyu hapa mwenye akili za kushikiwa.....
 
Huwa wakati mwingine natamani nikutukane, naomba unisamehe kwa mawazo yangu mabaya
Kama kwa kumtukana huyo jamaa hakunizuii kwenda mbinguni ngoja nikusaidie.
Hana akili kabisa.
Iweje jambo la aibu namna hiyo alishabikie?
OMBI; Walioko humo warekodi neno kwa neno kisha tamko zima liwe mtandaoni na litawafikia wengi tuu. Nimewachukia sana wanaozuia hayo
 
Huu ni utawala wa JPM , mlimfanya JK kama babu yenu. Utawala huu mtaishia kujamba tu.
Mtu mwenyewe MUOGA hivyo amjambishe nani? Anaishia kujamba mwenyewe tu kila akisikia neno chadema., Dodoma mpaka katoa tamko eti angewapoteza watu kisa imani na mtu, sasa anafikiria kuipoteza chadema?! Atajamba sana.
 
Basi na rusheni live matamko yenu hayo tuone.
 
Hahahahahaaaa! CHADEMA bana! Kumbe hamna hata fedha za kurusha live mikutano yenu?
 
Niko sahihi na nitaendelea kuwa sahihi kutoipigia kura CCM.
 
Kama kwa kumtukana huyo jamaa hakunizuii kwenda mbinguni ngoja nikusaidie.
Hana akili kabisa.
Iweje jambo la aibu namna hiyo alishabikie?
OMBI; Walioko humo warekodi neno kwa neno kisha tamko zima liwe mtandaoni na litawafikia wengi tuu. Nimewachukia sana wanaozuia hayo
Wajinga kweli hawa hawajui kuwa taarifa nzima itakuepo hapa jukwaani, washenzi kweli
 
Back
Top Bottom