Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na usipo sign out wewe jike.Mpuuzi mwingine huyu hapa, nyie akili zenu ziko wapi hata sijui, ngoja ni sign out nisiharibu siku yangu bure
Mpuuzi mwingine huyu hapa mwenye akili za kushikiwa.....CHADEMA wakosa fedha za kurusha Live Mkutano wao na Waandishi wa Habari.
CHADEMA walitoa taarifa kuwa wangerusha moja kwa moja mkutano wao na waandishi wa Habari ambao ulipangwa kufanyika leo kuanzia saa tano Asubuhi. Taarifa zinasema kuwa chama hicho kilialika vyombo vya Habari vya Azam, ITV, Channel Ten na Radio kadhaa kurusha hewani mkutano huo.
Hata hivyo, mpaka leo saa mbili Asubuhi, CHADEMA wamekosa fedha za kurusha hewani Mkutano huo. Inaelezwa kuwa Freeman Mbowe amesema kuwa chama hakina fedha kwa vile walitumia fedha nyingi kugharamia Mkutano wa Kamati kuu kutokana na kuongezeka kwa siku za mkutano huo kutoka siku mbili zilizopangwa awali hadi siku nne. Naye kiongozi wa heshima wa CHADEMA, Edward Lowasa alipofuatwa kuokoa jahazi alijinu kuwa imekuwa ninghafla mno na kwamba wangemwambia mapema, angewasiliana na maswahiba wake wangemsaidia.
Ka hali hiyo, Mkutano huo umeshindikana kuwa Live na sasa rusubiri recorded au clips zilizoeditiwa.
Kama kwa kumtukana huyo jamaa hakunizuii kwenda mbinguni ngoja nikusaidie.Huwa wakati mwingine natamani nikutukane, naomba unisamehe kwa mawazo yangu mabaya
Hahaaaa, umenichekesha sana.Wamebadili gia angani tena?
Mtu mwenyewe MUOGA hivyo amjambishe nani? Anaishia kujamba mwenyewe tu kila akisikia neno chadema., Dodoma mpaka katoa tamko eti angewapoteza watu kisa imani na mtu, sasa anafikiria kuipoteza chadema?! Atajamba sana.Huu ni utawala wa JPM , mlimfanya JK kama babu yenu. Utawala huu mtaishia kujamba tu.
Rusheni kama mnweza.Mopuuzi mwingine huyu hapa mwenye akili za kushikiwa.....
Basi na rusheni live matamko yenu hayo tuone.Mtu mwenyewe MUOGA hivyo amjambishe nani? Anaishia kujamba mwenyewe tu kila akisikia neno chadema., Dodoma mpaka katoa tamko eti angewapoteza watu kisa imani na mtu, sasa anafikiria kuipoteza chadema?! Atajamba sana.
Siyo mchakato, harakati.Mchakato sio live tena?
Poa ngoja nibaki hapa, wewe dume haina shidaNa usipo sign out wewe jike.
Nasikia hawana fedha za kuwalipa ITV na Azam TVMchakato sio live tena?
Familia ya Lowssa imegoma pesa isitoke.Hahahahahaaaa! CHADEMA bana! Kumbe hamna hata fedha za kurusha live mikutano yenu?
Hata akizuia yasirushwe tunajua kesha jamba tayari, na wala hataweza kuzuia nguvu ya umaa ni swala la muda tu yeye si Mungu.Basi na rusheni live matamko yenu hayo tuone.
Hawana pesa za kurusha live.mhhh demokrasia imefichwa sana
Wajinga kweli hawa hawajui kuwa taarifa nzima itakuepo hapa jukwaani, washenzi kweliKama kwa kumtukana huyo jamaa hakunizuii kwenda mbinguni ngoja nikusaidie.
Hana akili kabisa.
Iweje jambo la aibu namna hiyo alishabikie?
OMBI; Walioko humo warekodi neno kwa neno kisha tamko zima liwe mtandaoni na litawafikia wengi tuu. Nimewachukia sana wanaozuia hayo
Well saidHata akizuia yasirushwe tunajua kesha jamba tayari, na wala hataweza kuzuia nguvu ya umaa ni swala la muda tu yeye si Mungu.