dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Wamemkingia Aibu tu Mbowe, Lissu kashinda kwa Kura Asilimia zaidi ya 80% kumpa heshima mbowe wakaona wasogeze mizaniNi dhahiri shairi kama siyo press ya kwanza ya lema basi Leo hii mbowe angeibuka mshindi kwa kura zaid ya Mia sita mpk Mia tano
Imaging Jamaa pmj na kupigwa spana zote hzo ila bado amepata kura 482 kwa asilimia 48 dhid ya 521 ya mh lisu
Maan yake ni kwamba ktk utawala wa lisu kuna watu Mia 482 wana muunga mwamba mkoni kura 31 ni chache sna hvyo timu lisu isijitape tape San kwan mwamba bado alikuwa nahitaji sna na alikuwa pia ana watu
Sas wacha tuone je cdm ile ya elf 2010 na 2015 nitarudi au ccm itaidhohofisha k
Tena
Acheni uongo wee JAmaaa kapata kura mle lisu ni mchafua Watu asinge kubali hichoWamemkingia Aibu tu Mbowe, Lissu kashinda kwa Kura Asilimia zaidi ya 80% kumpa heshima mbowe wakaona wasogeze mizani
Hii inawezekana😅😅Wamemkingia Aibu tu Mbowe, Lissu kashinda kwa Kura Asilimia zaidi ya 80% kumpa heshima mbowe wakaona wasogeze mizani
Mbowe chaliii....Pesa za Abdalla zimepgwa Bure.Acheni uongo wee JAmaaa kapata kura mle lisu ni mchafua Watu asinge kubali hicho
Hao 482 hawakumuunga Wala hawamuuingi mbowe mkono bali wameunga mkono pesa zake alizotoa..Ni dhahiri shairi kama siyo press ya kwanza ya lema basi Leo hii mbowe angeibuka mshindi kwa kura zaid ya Mia sita mpk Mia tano