Press ya Roma inaanza saa ngapi?

Roma karudi anatembea akichechemea kama mtu aliyetailiwa leo, bado mnasema ati alikua aandika script.....!
Kwani anashindwa ku act kama watu wana act vilema na wanaingia taifa ,wengine hadi kwenye maombi feki

Sembuse kwa Roma ,kwani anashindwa ku act

Mie niliwahi kujifanya nimeumia na nikawa nachechemea kukwepa adhabu shule

Nb:masahihisho tu sijamaanisha kweli kama act ila lolote lawezekana,
 
Roma karudi anatembea akichechemea kama mtu aliyetailiwa leo, bado mnasema ati alikua aandika script.....!
Kwani haiwezekani kuact ukihechemea? Kuanzia the way mkewe alivyokuwa akiongea kwenye media ilionyesha kabisa kuna kitu hakiposawa,facial expression yake haikuwa kama ya mwanamke Mwenye uchungu wa kupotelewa mume. Mwenyezi Mungu anisamehe lkn watz tusikubali kutumika kwa maslahi ya wachache
 
Msilichukulie hili jambo kirahisirahisi hamjui yaliyowakuta na hamjui walikubaliana nini mpaka kuachiwa...
Alichokosea ni kimoja kuahidi kuongea
Bila kuahidi au kutokuahidi ilikuwa na ni lazima aeleze kilichotokea.kukaa kimya kuna halalisha tukio lenyewe,kukaa kimya kunafanya jambo lionekane la kawaida na nikumaanisha ni ruksa waliomteka waendelee na utekaji wao.pia nikutudharau tuliopaza sauti zetu kudai aliemteka amuachie.Roma anapaswa kueleza yote na hayo makubaliano yakuachiwa ni haramu hayana uhalali wowote.
 
Kama nchi nadhani tuna shida ama ya njaa ya akili na chakula! Maandishi mengi hapa kuanzia ya diamond yana lengo la kupotosha ukweli. Haiwezekani yote yale iwe kwamba ati ilikuwa igizo, unless kuwe kuna makubaliano ambayo yalifikiwa kwamba waseme hivyo ili kuficha aibu ya mtekaji, kama diamond alichoandika ni Kweli Roma lazima akamatwe awekwe ndani Maana atakuwa amechafua jamii kitaifa na kimataifa! Kuficha jambo likitokea kwa kutunga uongo itamcost Roma na aliyejificha!!
 
Umeongea kitu cha maana sana....na kuna siku zitto alizusha kuwa kashikwa na police but ikawa siyo kweli.....jaman wa tz tujaribuni kuwaza mambo kwa upana zaidi.....kuna kitu nyuma ya pazia mda ndo jibu tosha
 
Ule wimbo diamond aliutunga lini maana aliutoa kama Masaa 18 baada ya Roma kutekwa, Na kule ndani kazungumzia utekwaji wake!!
Cjui kwa nin watu hawatafakari hili kuna jambo hapo sema wa tz tunapenda kutafuniwa hadi kufikili.
 
lkn siku haijaisha msha anza kuongea hamjui nn kipo nyuma yake, kama Nape waziri alitolewa mtutu hadharani ita kuaje kwa ROMA? ana ulinzi gan huyo kiasi kwamba ajitoe akili afyatuke yote yaliyo mkuta au baadae yakimpata tuishie kusema RIP shujaa
 
Itakumbukwa jinsi ambavyo Nape alizuia na hata kutishiwa kwa bastola kabisa angali alikuwa kiongozi mwenye dhamana ya juu kabisa(waziri)!
Kwa kuunganisha dots je Roma atawezaje kupewa go ahead azungumze ukweli wa kilichomtokea bila kuzuiwa?
Hii movie sijui lengo lake lilikuwa lipi, but mda utatoa majibu!
Loading...........45%
 
Ule wimbo diamond aliutunga lini maana aliutoa kama Masaa 18 baada ya Roma kutekwa, Na kule ndani kazungumzia utekwaji wake!!
Usanii tu watu wanatafuta kiki za kisiasa wakishirikiana na hawa wcb walioanza kupoteza umaarufu nchini hizi ni mbinu zakutaka kurudi maskioni mwawatu.kila nyimbo wanazotoa zinabuma walijaribu kutoa video walioshirikiana na yule mmarekani imebuma izi ni mbinu chafu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…