adolf440
JF-Expert Member
- Sep 19, 2015
- 251
- 207
ha ha haaaaa,Alisema jumatatu ila hakusema ni jumatatu ipi labda hakumanisha jumatatu hii tumpe mda,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha haaaaa,Alisema jumatatu ila hakusema ni jumatatu ipi labda hakumanisha jumatatu hii tumpe mda,
Kama ukiwa na akili za ki Bashite huenda usijue kuwa ni DiamondMwenye kujua maana Nay na Dimpoz washavujisha siri
Umenikumbusha TIDNajaribu kuwaza akija na mkuu mwenye mkoa wake waandishi watafanyaje
Kwani anashindwa ku act kama watu wana act vilema na wanaingia taifa ,wengine hadi kwenye maombi fekiRoma karudi anatembea akichechemea kama mtu aliyetailiwa leo, bado mnasema ati alikua aandika script.....!
Kwani haiwezekani kuact ukihechemea? Kuanzia the way mkewe alivyokuwa akiongea kwenye media ilionyesha kabisa kuna kitu hakiposawa,facial expression yake haikuwa kama ya mwanamke Mwenye uchungu wa kupotelewa mume. Mwenyezi Mungu anisamehe lkn watz tusikubali kutumika kwa maslahi ya wachacheRoma karudi anatembea akichechemea kama mtu aliyetailiwa leo, bado mnasema ati alikua aandika script.....!
kama ulikuwa haujui,juwa leo wimbo unaweza ukatungwa ata ndani ya saa moja ukawa umekamilika. tena ukizingatia miaka ya sikuizi yenye technology hatari.Ule wimbo diamond aliutunga lini maana aliutoa kama Masaa 18 baada ya Roma kutekwa, Na kule ndani kazungumzia utekwaji wake!!
Bila kuahidi au kutokuahidi ilikuwa na ni lazima aeleze kilichotokea.kukaa kimya kuna halalisha tukio lenyewe,kukaa kimya kunafanya jambo lionekane la kawaida na nikumaanisha ni ruksa waliomteka waendelee na utekaji wao.pia nikutudharau tuliopaza sauti zetu kudai aliemteka amuachie.Roma anapaswa kueleza yote na hayo makubaliano yakuachiwa ni haramu hayana uhalali wowote.Msilichukulie hili jambo kirahisirahisi hamjui yaliyowakuta na hamjui walikubaliana nini mpaka kuachiwa...
Alichokosea ni kimoja kuahidi kuongea
Umeongea kitu cha maana sana....na kuna siku zitto alizusha kuwa kashikwa na police but ikawa siyo kweli.....jaman wa tz tujaribuni kuwaza mambo kwa upana zaidi.....kuna kitu nyuma ya pazia mda ndo jibu toshaKwani haiwezekani kuact ukihechemea? Kuanzia the way mkewe alivyokuwa akiongea kwenye media ilionyesha kabisa kuna kitu hakiposawa,facial expression yake haikuwa kama ya mwanamke Mwenye uchungu wa kupotelewa mume. Mwenyezi Mungu anisamehe lkn watz tusikubali kutumika kwa maslahi ya wachache
Bavicha mna akili ndogo sanaKama ukiwa na akili za ki Bashite huenda usijue kuwa ni Diamond
Cjui kwa nin watu hawatafakari hili kuna jambo hapo sema wa tz tunapenda kutafuniwa hadi kufikili.Ule wimbo diamond aliutunga lini maana aliutoa kama Masaa 18 baada ya Roma kutekwa, Na kule ndani kazungumzia utekwaji wake!!
He he he...Ule wimbo diamond aliutunga lini maana aliutoa kama Masaa 18 baada ya Roma kutekwa, Na kule ndani kazungumzia utekwaji wake!!
Ndio scene ya mwisho lazima ioneshe hivyo !kwani wewe huwezi kuigiza kuchechemea?Roma karudi anatembea akichechemea kama mtu aliyetailiwa leo, bado mnasema ati alikua aandika script.....!
Vipi haji tena mmemzuia?Endeleeni kusubiri
Kuchechemea ndo nini?wakati watu wanaigiza.aje hana meno.Roma karudi anatembea akichechemea kama mtu aliyetailiwa leo, bado mnasema ati alikua aandika script.....!
Usanii tu watu wanatafuta kiki za kisiasa wakishirikiana na hawa wcb walioanza kupoteza umaarufu nchini hizi ni mbinu zakutaka kurudi maskioni mwawatu.kila nyimbo wanazotoa zinabuma walijaribu kutoa video walioshirikiana na yule mmarekani imebuma izi ni mbinu chafu tuUle wimbo diamond aliutunga lini maana aliutoa kama Masaa 18 baada ya Roma kutekwa, Na kule ndani kazungumzia utekwaji wake!!