Press ya Roma inaanza saa ngapi?

Mtu aliyetekwa,watu wamemlilia na kumtafuta,anapata ukombozi anapatikana halafu anaulizwa ilikuaje anasema ntaongea wiki ijayo..!
Kweli watanzania tumefanywa wajinga hasa
Fanya mambo yako kijana ya kina roma waachie kinaroma
 
Roma anajua ukweli wote yeye mwenyewe hata atakayosema yatakuwa used
 
Ule wimbo diamond aliutunga lini maana aliutoa kama Masaa 18 baada ya Roma kutekwa, Na kule ndani kazungumzia utekwaji wake!!
MTU anakufa Leo na leo Leo kabla jua halijazama tayr ameshatungiwa nyimbo...acha akili za kiccm wew.
 
Ladies &Gentlemen kafanyeni kazi!
khaaa sasa hizo press za akina roma zinamsaada gani mtege masikio hivo?
hivi umbea mtaacha lini
Mkuu, connect dots vizuri katika kipindi hiki cha magu wananchi wengi hawana tena morali ya kufanya kazi kwa sababu hata hawa-enjoy kazi zenyewe.....hawana furaha kabisa (rejea utafiti Wa UN kuhusu nchi zisizo na furaha duniani). Sehem pekee ambapo watanzania wanapunguzia stress ni kwenye udaku tu. Pombe ndio chanzo cha watu kupenda udaku. Ajitafakari kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…