rama bendu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 310
- 220
Fanya mambo yako kijana ya kina roma waachie kinaromaMtu aliyetekwa,watu wamemlilia na kumtafuta,anapata ukombozi anapatikana halafu anaulizwa ilikuaje anasema ntaongea wiki ijayo..!
Kweli watanzania tumefanywa wajinga hasa