johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
sio utawala wa kutekana na kumiminiana marisasi kama wanauwa tembo.Naamini mama Samia atatuvusha.
Huyu mama akumbatie utawala wa sheria tuu.
Poleni sana majirani kwa msiba...Sijui itakuwaje? Mitano Tena...Development has no party.
Hakika tulikuwa na hali ngumu snsio utawala wa kutekana na kumiminiana marisasi kama wanauwa tembo.
Kuna namna naingalia CHATOYaani kila nikifikiria miradi ya JPM nashikwa na huzuni. Sijui nani anaweza kuiendeleza. Maana mwisho wa siku ni kodi zetu.
Maana yote ilikuwa inafanyika kwa utashi wa mtu mmoja!
Siungi mkono pupa ya kutekeleza miradi aliyoanzisha JPM kama alivyokuwa anafanya yeye maana inaharibu uchumi,miradi itekelezwe lakini kwa awamu.Kuna baadhi ya miradimilikuwa ianze kama mabwawa ya umeme wa maji ya Njombe,hiyo ipigwe chini maana haina tija kwa sasa.Yaani kila nikifikiria miradi ya JPM nashikwa na huzuni. Sijui nani anaweza kuiendeleza. Maana mwisho wa siku ni kodi zetu.
Maana yote ilikuwa inafanyika kwa utashi wa mtu mmoja!
Maza kaona wanamwekea usiku tu kaamua kufanya yakeHakika ni msiba mzito sana. Kwa nini lakini ulitangazwa usiku??
Aisee walipe kwanza pesa zao wastaafu,wana hali ngumu sana huku mtaani.Yaani kila nikifikiria miradi ya JPM nashikwa na huzuni. Sijui nani anaweza kuiendeleza. Maana mwisho wa siku ni kodi zetu.
Maana yote ilikuwa inafanyika kwa utashi wa mtu mmoja!
Kupunguza effect ili taarifa ziwafikieni stage by stage, taifa limepata pigo kubwa sana.Hakika ni msiba mzito sana. Kwa nini lakini ulitangazwa usiku?
Nafikiria ile hotel ya star ngapi sihui inayojengwa burigi chato,sijui itaendelea kujengwa?Kuna namna naingalia CHATO
Mkuu usijiumize sana. Mambo ni mengi mno muda pia hautoshi.Nafikiria ile hotel ya star ngapi sihui inayojengwa burigi chato,sijui itaendelea kujengwa?