Pressure Cooker ipi ninunue?

Pressure Cooker ipi ninunue?

Mambo.

Nimekutana na haya mawili Von na Kodtec pressure cookers.

Kwa budget ya chini ya Tsh 200,000/= nichukue lipi?

Au kuna suggestion nyingine?
Von mashine nyingine aisee. Usiilinganishe na hivyo visivyo na mbele wala nyuma.

Kama huamini bei itakuaminisha tu
 
dude linapika hadi pilau...

miaka mingi tukiwa chuo (sio bongo), rice cooker imetutoa sana maana ilikuwa inatumika kama jiko, unatengeneza hadi mboga...

unailazimisha tu ile switch iwe upande wa Cook, sema usipokuwa makini unaua heating coil...
Kaka hapo kwenye pilau embu nielekeze napikaje kaka Cc ephen_



Hapa napika mchele kaka je dakika ngapi utaiva hapa ?
IMG_20240820_200906_105.jpg
 
Back
Top Bottom