Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
- Thread starter
- #21
Tuone wali bro.. hahahahaHii hapa kaka Cc ephen_ View attachment 3075225
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuone wali bro.. hahahahaHii hapa kaka Cc ephen_ View attachment 3075225
Huuu hapa kaka embu nielekeze nataka kesho nitoe pilau hapo napika vipi Cc ephen_Tuone wali bro.. hahahaha
Umeweka maji kidogo sana..Huuu hapa kaka embu nielekeze nataka kesho nitoe pilau hapo napika vipi Cc ephen_ View attachment 3075226View attachment 3075227
Kaka hapo umeshaiva kaka nilikuwa nakuuliza jinsi ya kupika pilau nielekeze Cc ephen_Umeweka maji kidogo sana..
1. Ukiweka Mchele, hakikisha maji yanajaa full yanafunika wali.
2. Usifunue wala usikoroge.
3. Chumvi na mafuta kidogo weka.
4. Set kwenye RICE kisha acha Mchina afanye yake.
Ebu google
Ngoja nijaribu 😂😂😁🤣😁Ebu google
Oya vipi mbona unauliza sana wakati kuna instruction manuals mzee. Wewe ni mchagga kweli? Mbona wenzako hatupo hivyo?
Ushaamka?🙄Oya vipi mbona unauliza sana wakati kuna instruction manuals mzee. Wewe ni mchagga kweli? Mbona wenzako hatupo hivyo?
Yeah. It was only a siesta.Ushaamka?🙄
Sawa sawa mzunguYeah. It was only a siesta.
Embu nielekeze Cc ephen_ hapa naona option ya kupika ubwabwaOya vipi mbona unauliza sana wakati kuna instruction manuals mzee. Wewe ni mchagga kweli? Mbona wenzako hatupo hivyo?
😎😎😎😂🤣😁😁😁😁😁 Nataka kupika pilauTutakoma na hiyo pressure cooker yako🙌
Subiri chalii akuelekeze, usisahau picha😎😎😎😂🤣😁😁😁😁😁 Nataka kupika pilau
Ok hapa inabidi niwe makini nisije unguza vidole na mvuke simu naweka pembeni 😎😂🤣😁Subiri chalii akuelekeze, usisahau picha
Fuata maelekezo mkuu. Science does not cheat. Kama ukiambiwa 1000grams/lt ukizidisha hata gram moja au milliliter 1 tayari huwezi kupata matokeo yaliyokusudiwa japo hautakuwa mbali na matokeo uliyotaka.Embu nielekeze Cc ephen_ hapa naona option ya kupika ubwabwa
😭😭😭😭Nimeharibu mchele Cc ephen_Fuata maelekezo mkuu. Science does not cheat. Kama ukiambiwa 1000grams/lt ukizidisha hata gram moja au milliliter 1 tayari huwezi kupata matokeo yaliyokusudiwa japo hautakuwa mbali na matokeo uliyotaka.
So kama ulitaka wali ukapata ubwabwa basi kuna mahali umekosea kwenye hivyo vipimo ili kuleta balance inayoweza kukupa unachotaka.
Wachaga mpo vizuri☺️Fuata maelekezo mkuu. Science does not cheat. Kama ukiambiwa 1000grams/lt ukizidisha hata gram moja au milliliter 1 tayari huwezi kupata matokeo yaliyokusudiwa japo hautakuwa mbali na matokeo uliyotaka.
So kama ulitaka wali ukapata ubwabwa basi kuna mahali umekosea kwenye hivyo vipimo ili kuleta balance inayoweza kukupa unachotaka.