Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Von mashine nyingine aisee. Usiilinganishe na hivyo visivyo na mbele wala nyuma.Mambo.
Nimekutana na haya mawili Von na Kodtec pressure cookers.
Kwa budget ya chini ya Tsh 200,000/= nichukue lipi?
Au kuna suggestion nyingine?
Kuna mnyama anaitwa NUTRICOOK! Japo nimenunua Von lakini huyu nampa heshima!Von mashine nyingine aisee. Usiilinganishe na hivyo visivyo na mbele wala nyuma.
Kama huamini bei itakuaminisha tu
1. Nutricook inauzwa around 350kMambo.
Nimekutana na haya mawili Von na Kodtec pressure cookers.
Kwa budget ya chini ya Tsh 200,000/= nichukue lipi?
Au kuna suggestion nyingine?
1. Nutricook inauzwa around 350k
2. Von inauzwa around 230k
NB: Itabidi uongeze bajeti.
Zinapatikana kila sehemu ni wewe useme uko wapi..Zinapatikana wapi?
OK AsanteZinapatikana kila sehemu ni wewe useme uko wapi..
Kama uko dar nenda kariakoo ulizia watu wanaitwa "nida danish" kama uko arusha ninda kwa bensoni..
Wote hao bei zao zinachezea kwenye hiyo range.
Asante sana kaka ngoja nipike mchele hapa Cc ephen_Mafuta, chumvi na vikorombwezo vingine vyovyote unavyotaka kama binzari, veggies n.k
Asante sana kaka ngoja nipike mchele hapa Cc ephen_
Kaka hapo kwenye pilau embu nielekeze napikaje kaka Cc ephen_dude linapika hadi pilau...
miaka mingi tukiwa chuo (sio bongo), rice cooker imetutoa sana maana ilikuwa inatumika kama jiko, unatengeneza hadi mboga...
unailazimisha tu ile switch iwe upande wa Cook, sema usipokuwa makini unaua heating coil...